DMDP: BILIONI 660Tsh zimetolewa na Serikali kuboresha Jiji la Dar es salaam

Sawa, whatever the case... Its donors money sio our own source... Punguza povu haya ni maongezi,

Huo sio msaada ni mkopo from WB kwahiyo kupitia kodi zetu tutalipa mkopo huo...feel proud.
 
Huo sio msaada ni mkopo from WB kwahiyo kupitia kodi zetu tutalipa mkopo huo...feel proud.

Waziri kusema ni hela za serikali ndo napingana naye, ni cheap politics kutafuta sifa, mbona miradi ya flyover ya ubungo inatangazwa kabisa msaada wa world bank, tazara wanasema msaada kutoka japan, uwanja wa dodoma msaada kutoka morocco, na huu aseme ukweli
 
Najua kuna wa nazi walumumba wanafanyia propaganda chama fulani
 
Peleka utaahira huko kuna msaada wa billion 660? Kuna bank inatoa msaada?? Umeambiwa pesa inatoka bank alafu unaiita msaada nenda crdb waambie na wewe wakupe msaada wa billion 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…