Habari wapendwa mm nmehitimu undergraduate studies lakini nataka kundelea na postgraduate studies yaan masters katika sector ya mafuta na gesi ,nmepata admission katika chuo kimoja scotland ,natafuta mtu wa kunidhamini yaan sponsorship au any form of study loan for master studies kwa mtu yoyote anaeweza kunipa ushauri nifanyaje mawazo yako ni msaada sana katika mafanikio yangu...