Unataka ma slay queen wafe njaa.
Kuna ma single mama wanaendesha magari makali na kukaa nyumba nzuri kwa kutumia mtoto kama kitega uchumi.
Unakuta mtoto mmoja ana vyeti mpaka 3 vya kuzaliwa kumaanisha kuna njemba 3 zinahudumia kwa kuaminishwa ndio baba wa mtoto.
Wakianza mambo ya kupimwa DNA unaweza kuta hata hao 3 wote sio baba wa mtoto.
U single mama ni mradi kibongo bongo, mambo ya DNA kabla yakija wengi wataumbuka.