CPU JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 3,858 Reaction score 687 Feb 5, 2011 #21 Kwa ishu kama ya Mahita, yeye anaona akikubali jamii itamdharau kwa kuzaa na HG wake Wanaume wa aina hiyo wanapenda kupata burudiko tu, hawataki kugharamia burudani
Kwa ishu kama ya Mahita, yeye anaona akikubali jamii itamdharau kwa kuzaa na HG wake Wanaume wa aina hiyo wanapenda kupata burudiko tu, hawataki kugharamia burudani
Masika JF-Expert Member Joined Sep 18, 2009 Posts 723 Reaction score 30 Feb 5, 2011 #22 kama ukipanda mavuno yakija utashangaa? kama ulisha chakachuana kavu kavu na mtu akavimba tumbo basi unawajibika kwa kuvimbisha tumbo
kama ukipanda mavuno yakija utashangaa? kama ulisha chakachuana kavu kavu na mtu akavimba tumbo basi unawajibika kwa kuvimbisha tumbo