Dna test

MAKALA

Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
47
Reaction score
12
HABARI
Naomba isaidiwe familia hii njia nyepesi ya kufanya DNA TEST maana walipokwenda kwa mkemia mkuu wakaambiwa wapeleke barua toka mahakamani au ustawi wa jamii na walipoenda huko wakasema hawatoi barua labda tu kama kungekua na kesi ya kugombania mtoto.Sasa tumesikia kuna watu zaidi ya elfu mbili walishapimwa sijui hao wote walikua na kesi za kugombea watoto?.so tafazali kwa yule anaye jua namna rahisi ya kufanya ili niishauri ile familia waifuate.
 
Wanacho ogopa ni legal implication. Hawa wa ustawi wa jamii hawapendi kuwa na vichanga visivyo na madingi kwahiyo wanatumia mwanya ku slow down na kukatisha tamaa ili kulinda family bond.
Solution
Waambie wahusika wazushe zogo la mtu kutoka damu japo kidogo, nasema hivi kwasababu so far kuna zogo,hadi watu wakapime DNA si shwari!!!!!!!, na kama ni uelewa mzuri wa ustawi wa jamii na mahakama wangetoa barua. Lakini kwa vile wanataka evidence basi mmoja amchape mwenzake kibao kuwe na ka kesi ka kishakaji kabla ya hukumu mnarudisha mashataka kwa wazazi [fake]. Hii nayo inategemea bifu likoje, kama mume akimchapa kibao mamaa, mamaa anaweza komaa hadi hukumu ili kukwepa matokeo ya DNA,hapo sipo! hapa si promote violence natafuata short cut.
Nchi yetu ukifuata procedure, utapewa barua 2015
 
Kama kuna private service providers wa kupima DNA waende kule. Hivi ni Government Chemist tu mwenye hiyo teknolojia peke yake au sherria za nchi zimemruhusu yeye pekee? Wenye taarifa kuhusu hili tuelimisheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…