Kuna mtu aliniambia hivi hawa wazungu watagundua nini tena mbona naona kama kila kitu kipo nikamwambia kama ww unadamka asubuhi unakuna pumbu zako wenzio hawako hivyo kila siku wanajaribu kuleta suruhisho kwenye vitu, Ikifika miaka ya 2060 huko dunia itakuwa na mambo mengi mapya ya teknolojia ambayo yatakauwa yanashangaza!