Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kama ulikua hujui kuwa unaweza kumjua mtoto ni wako au sio wako bila kupima DNA wacha nikufahamishe;-
Watu wengi huamini kuwa njia ya kicheki DNA pekee,
Ndio inayo tambulisha kuwa mtoto sio wako,
Jambo ambalo kiuhalisia sio kweli kabisa,
Sasa leo wacha nikujulishe njia nyengine mbili rahisi,
Za kutambua kuwa mtoto ulienae ni wako au sio wako kama ifuatavyo;-
1) Muamshe mtoto asubuhi halafu nenda kamwambie akakojoe,
Akienda moja kwa moja kukojoa bila kugeuka nyuma ujue sio wako,
Lakini akienda mbele kidogo halafu akageuka nyuma kukuangalia ,
Tena akifanya hivyo kabla ya kukojoa ujue huyo mtoto ni wako.
2) Ukiona mtoto anapigwa na mama yake au jirani,
Halafu ukaona anakukimbilia miguuni au,
Kama wakati anapigwa haukuwepo lakini ulipo rudi tu akakufuata na kukushitakia
Ujue huyo mtoto ni wako hujadanganywa,
Lakini ukiona kapigwa halafu wewe upo lakini hakukimbilii,
Badala yake hukimbilia sehemu nyengine na wala hamkimbilii mtu wakati wewe upo ujue mtoto sio wako,
Au amepigwa wakati haupo halafu uliporudi hakukuambia chochote,
Badala yake ukaja kuambiwa na watu wengine aidha mama yake au dada yake au kaka,
Ujue huyo mtoto sio wako umedanganywa.
NB;- Hii njia hutumika kwa watoto walio chini ya miaka 5 tu.
Najua utabisha lakini fanya uchunguzi halafu utanipa jibu,
Naamini lazima utakuja kunishkuru siku moja.
#Test and observe!