Blaszczykowski JF-Expert Member Joined Dec 20, 2022 Posts 310 Reaction score 1,100 Dec 29, 2022 #1 Habari naomba kuuliza Hawa ndugu zetu Dnata wanachukua mda gani kuita watu kwenye Interview maombi tulituma tokea December 5 Mpaka sasa kimya.
Habari naomba kuuliza Hawa ndugu zetu Dnata wanachukua mda gani kuita watu kwenye Interview maombi tulituma tokea December 5 Mpaka sasa kimya.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Dec 29, 2022 #2 Blaszczykowski said: Habari naomba kuuliza Hawa ndugu zetu Dnata wanachukua mda gani kuita watu kwenye Interview maombi tulituma tokea December 5 Mpaka sasa kimya. Click to expand... Kwanini usiwaulize wenyewe? Sisi wala hatuwajui na wala sio wasemaji wao
Blaszczykowski said: Habari naomba kuuliza Hawa ndugu zetu Dnata wanachukua mda gani kuita watu kwenye Interview maombi tulituma tokea December 5 Mpaka sasa kimya. Click to expand... Kwanini usiwaulize wenyewe? Sisi wala hatuwajui na wala sio wasemaji wao
Exformer JF-Expert Member Joined Nov 12, 2018 Posts 842 Reaction score 982 Dec 30, 2022 #3 Blaszczykowski said: Habari naomba kuuliza Hawa ndugu zetu Dnata wanachukua mda gani kuita watu kwenye Interview maombi tulituma tokea December 5 Mpaka sasa kimya. Click to expand... Dnata ndo akina nan
Blaszczykowski said: Habari naomba kuuliza Hawa ndugu zetu Dnata wanachukua mda gani kuita watu kwenye Interview maombi tulituma tokea December 5 Mpaka sasa kimya. Click to expand... Dnata ndo akina nan
HesabuKali JF-Expert Member Joined Jan 4, 2016 Posts 2,791 Reaction score 5,687 Dec 30, 2022 #4 Kama hutapata ujumbe wowote kutoka kwetu wiki 2 baada ya kutuma maombi yako, basi ujue hukukidhi vigezo.
Kama hutapata ujumbe wowote kutoka kwetu wiki 2 baada ya kutuma maombi yako, basi ujue hukukidhi vigezo.
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 4,260 Reaction score 7,033 Dec 30, 2022 #5 HesabuKali said: Kama hutapata ujumbe wowote kutoka kwetu wiki 2 baada ya kutuma maombi yako, basi ujue hukukidhi vigezo. Click to expand... Wakati tumewaandikia kwenye Tangazo hawakua makini kusoma kila kitu, na wengi husoma zile offer zetu tu.
HesabuKali said: Kama hutapata ujumbe wowote kutoka kwetu wiki 2 baada ya kutuma maombi yako, basi ujue hukukidhi vigezo. Click to expand... Wakati tumewaandikia kwenye Tangazo hawakua makini kusoma kila kitu, na wengi husoma zile offer zetu tu.