Do it Now,Do it here. Do it Fast

Do it Now,Do it here. Do it Fast

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,713
Reaction score
6,121
Habari za wakati huu,

Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na jitihada zako za kutafuta mafanikio katika maisha yako. Niseme tu ukweli kwamba ninaandika andiko hili nikiwa katika maombolezo ya msiba.Nina Misiba ya watu tofauti katika mazingira tofauti ambao walikuwa ni wateja wangu,rafiki zangu and role models wangu.Misiba hii inaniuma sana kwa sababu ya umri wao mchanga,maono yao makubwa,mafanikio ya makubwa lakini zaidi ni namna ambavyo KIFO kimeamua kuwachukua bila huruma.

Vijana hawa ambao nimefanya nao kazi kwa vipindi na mazingira tafauti walinifundisha mambo mengi sana.Hata hivyo vifo vyao vimenifundisha Jambo kubwa zaidi.We have limited TIME,Limited Capabilities,Limited Resources,Limited opportunities and we are Limited Editions.

Leo nataka nisisitize zaidi kuhusu mimi na wewe kuwa Limited Editions na namna ambavyo tunaweza kutumia Limits zetu katika kuhakikisha kwamba tunafanya maisha yetu na ya wale wanaotuzunguka kuwa bora zaidi.Wakati naanza kufanya shughuli za biashara nilikuwa kijana mdogo nisiyekuwa na uzoefu ila niliyekuwa na shauku kubwa sana ya mafanikio.

Ninazikumbuka enzi zile ambazo nilifikia kwenye Ofisi za makampuni na kuzungumza na wakurgenzi.Nakumbuka enzi zile nilipkuwa naenda wizarani kuomba miada na waziri viongozi wa taasisi huku nikiamini kabisa kwamba nilikuwa na mawazo ya kipekee na ya kibunifu ambayo yangeweza kubadilisha dunia.Kiukweli hayakuwa mawazo mapya wala ya kipekee. Ila nilikuwa na ujasiri.

Wengi mnaosoma andiko hili mnaweza msiamini ila niliwahi Kupeleka wazo la Mobile Payment(MPESA )kwa meneja mmoja wa Vodacom ambay alikuwa Muhindi SIkuwa najua hata kufanya codind ila niliwaza tu kwamba kama meseji inaweza kutumwa kuonesha muamala umefanyika basi inawezekana.

Nilisha enda hadi TIRDO kueleza wazo la magari y umeme miaka mingi kabla Elon musk hajawa maarufu.Nlshafika Hadi wizara ya teknolojia na sehemu inaitwa costech kabla hawajawa na innovation hubs nikiwa nataka kufanya mrdi wa kuingiza waizara zote mtandaoni ziwe na website,halmashauri zote ziwe na website yaani kuwa na mtandao wa internet wa hudum kwa umma.Kipindi napeleka haya mawazo nilikuwa kijana mdogo,sijui kuandika business plan wala sikuwa na business plan.

Nilijua kuandika Barua kwa kiingereza au kiswahili,niljua kuvaa tai na kupiga viatu rangi.Hakuna hata wazo moja nililofanyia kazi mpaka leo ila nafurahi kwamba yalifanyiwa kazi na sasa mengi ya yale niliyowaza yako tayari.Mimi niliwaza smartphone miaka mingi kabla haijawepo.Baada ya tu ya kuona simu na kuona Computer basi akili yangu iliwaza namna ya kuweza kufanya secreen ya Computer iwe kama ya SIMU yaani iswie ile Chogo bali iwe kama ya simu.na ile circuti ya computer iwe ndogo kama ya simu.au kubwa kiasi.Sikuwa nimewahi kuona laptop(Sidhani kama ilikuwepo sokoni)

Sasa hivi nimekuwa zaidi na tayari failures na changamoto za maisha zimenifundisha uoga.Kabla yakufanya jambo natumia muda mrefu zaidi kuwaza na ninaogopa zaidi kukosea kuliko ninavotamani kufanikiwa au hata kujaribu kufanikiwa.Sipendi hii tabia ila nitabia ambayo wengi.Tunayo.Ujasiri wangu umebaki katika kuandika maandiko JF,huki nikijificha nyuma ya ID na kujaribu kuwatia moyo wengine.Kwa sasa inatosha ila lazima tufnye zaidi.

Sasa baada ya utangulizi huo mrefu nataka nikwambie ukweli Mchungu.Utakufa.Anytime anyhow but UTAKUFA so Make the most of NOW.Anza na ulicho nacho hapo ulipo,usiogope kukosea wala kukosolewa.Wewe sio wa kwanza wala hutakuwa wa Mwisho so Please Start NOW.

Usisubiri kesho au baadaye,Usitafute sababu wala kisingizio,Amka,Anza kuchukua hatua.Anza kubadilisha DUNIA kwa kubadlisha maisha yako.Sikupambi nakwamba ukweli siku moja utajilaumu kwa nini hukuchukua hatua na utaishia kusimulia tu kwamba niliwaza hivi,nilitaka kufanya hivi n.k.Na huenda usipate hata hiyo nafasi ya kusimulia,Utakuwa mavumbini unaliwa na funza.

Ukishakufa huna lako,huna chako,Hata Threads zako JF zinapoa,Hata videmu vyako vitakusahau,masela watakusahau,Mkeo na watoto watakusahau,Ila kama ulifanya mambo yale mambo yatabaki kuwa ni UKUMBUSHO wako duniani hata kama ni madogo.

Anzisha Biashara Mpya ikifa anzisha yingine,ikif anzisha nyingine na nyingine tena.Jifunze vitu vipya.Usiache kuota Ndoto,Usikate tamaa usiogope kujaribu wala usijinenee maneno ya kukata tamaa wala usikatashe tamaa wengine.CHukua HATUA ishi maisha yako kwa viwango vingine.

Mungu akibariki.

Iwapo una maoni zaidi basi tuendelee kuchangia kwenye comment au tuwasiliane kwa email masokotz@yahoo.com Tujadili zaidi

Nakutakia wakati mwema.
 
Nikupongeze sana. Kadri umri unaenda nilikuja kujua woaga unazidi na ujasiri unaenda kwao. Niliwahi kuwa na wazo la kuanzisha biashara kutoka kwenye zero Capital niliamini inaweza lkn baada ya muda kusonga nikiwa muajiriwa niliishia kuhangaika kutafuta mtaji. Na kadri unazidi unri mtaji unahitajika mkubwa ambao hauna.
Kimsingi andiko lako ni SAHIHI
 
Juna kichaa huwa anakaa pembebi mwa brbr akiangalia kila gari linalopita akitaka ajue ni gari gani zuri ili na yeye anunue. Nimeanza kumwona nikiwa kijana mdogo 27 yrs nlipoajiriwa leo nina miaka 40+ bado kila nikipita eneo hili amekaa na mwamvuli juani akiangalia ni gari gani itamfaa anunur
 
Ukishakufa huna lako,huna chako,Hata Threads zako JF zinapoa,Hata videmu vyako vitakusahau,masela watakusahau,Mkeo na watoto watakusahau,Ila kama ulifanya mambo yale mambo yatabaki kuwa ni UKUMBUSHO wako duniani hata kama ni madogo.

Maneno kuntu' haya
 
nakubaliana na wewe, kushauri watu wasiogope kuanza. Sema we jamaa una kamba sana kwamba uliwaza kuvumbua smartphone, magari ya umeme, mpesa nk nk ila walioanzisha wakakuwahi tu aise hata rocket uliwaza kugundua Musk akakuwahi eti ?! Hata robotics na neural link uliwaza kugundua au sio ?! Hyperloop technologo na cyptocurrency bila shaka pia ulipata idea za kuvumbua pia eti mkuu ?!

Hapa ndio mamotivational speakers hua wanakosea. Kuzidisha chumvi chumvi chumvi mpaka wanaonekana kabisa ujuaji mwingi porojo nyingi uhalisia zero
 
Mkuu,Sijajua shida ni mimi kusema niliwaza au shida ni wewe kutokuelewa au kutaka kutokuelewa.

Nafikiri jambo la muhimu ni ww kuelewa kile ninachotaka uelewe kwamba labda ningechukua hatua mambo yangekuwa tofauti.Anyway hio ndio shida ya motivation speakers
 
Mkuu unayo hoja ya msingi sana, kuwashauri vijana waanze na walicho nacho. Tatizo watu husubiri wapate mtaji kias fulani, sera na mazingira yawe bora kwa namna fulani na hujikuta wakisubiri na kusubiri umesema vema sana sana.

shida ni ulivyozidisha machumvi yako ati uliwaza kuunda laptop na smartphones, tena sio kuunda ila "kutmbua" bla blah ooh come on dude, what do you think we are ?! Kids or what ?!! Na ndio shida ya mamotivational speakers chumvi, chumvi, na machumvi mengi spoil the soup
 
Mkuu,Sorry for that,Nafikiri nikikwambia kwamba sasa hivi ninawaza kutengeneza kitu cha kipekee na tofauti nitakuwa nimetia chumvi?Anyway kama umeelewa kiini cha ujumbe wangu hiyo chumvi ina umuhimu wake maana ina spark mjadala kama ambavyo unaona sasa tunajadili.So unaona umuhimu wake kwenye andiko na hata unapoona motivation speaker wanatia chumvi lengo ni hilo hilo kuibua mjadala.Suala la ukweli au uongo tuliache maana hata nikitaka kukutibitishia sina namna yoyote ya kuthibitisha kwamba niliwahi waza aina hiyo ya mawazo.Appoligies kama wewe bado unachukua mambo at face value.
 
Habari za wakati huu,

Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na jitihada zako za kutafuta mafanikio katika maisha yako. Niseme tu ukweli kwamba ninaandika andiko hili nikiwa katika maombolezo ya msiba.Nina Misiba ya watu tofauti katika mazingira tofauti ambao walikuwa ni wateja wangu,rafiki zangu and role models wangu.Misiba hii inaniuma sana kwa sababu ya umri wao mchanga,maono yao makubwa,mafanikio ya makubwa lakini zaidi ni namna ambavyo KIFO kimeamua kuwachukua bila huruma.

Vijana hawa ambao nimefanya nao kazi kwa vipindi na mazingira tafauti walinifundisha mambo mengi sana.Hata hivyo vifo vyao vimenifundisha Jambo kubwa zaidi.We have limited TIME,Limited Capabilities,Limited Resources,Limited opportunities and we are Limited Editions.

Leo nataka nisisitize zaidi kuhusu mimi na wewe kuwa Limited Editions na namna ambavyo tunaweza kutumia Limits zetu katika kuhakikisha kwamba tunafanya maisha yetu na ya wale wanaotuzunguka kuwa bora zaidi.Wakati naanza kufanya shughuli za biashara nilikuwa kijana mdogo nisiyekuwa na uzoefu ila niliyekuwa na shauku kubwa sana ya mafanikio.

Ninazikumbuka enzi zile ambazo nilifikia kwenye Ofisi za makampuni na kuzungumza na wakurgenzi.Nakumbuka enzi zile nilipkuwa naenda wizarani kuomba miada na waziri viongozi wa taasisi huku nikiamini kabisa kwamba nilikuwa na mawazo ya kipekee na ya kibunifu ambayo yangeweza kubadilisha dunia.Kiukweli hayakuwa mawazo mapya wala ya kipekee. Ila nilikuwa na ujasiri.

Wengi mnaosoma andiko hili mnaweza msiamini ila niliwahi Kupeleka wazo la Mobile Payment(MPESA )kwa meneja mmoja wa Vodacom ambay alikuwa Muhindi SIkuwa najua hata kufanya codind ila niliwaza tu kwamba kama meseji inaweza kutumwa kuonesha muamala umefanyika basi inawezekana.

Nilisha enda hadi TIRDO kueleza wazo la magari y umeme miaka mingi kabla Elon musk hajawa maarufu.Nlshafika Hadi wizara ya teknolojia na sehemu inaitwa costech kabla hawajawa na innovation hubs nikiwa nataka kufanya mrdi wa kuingiza waizara zote mtandaoni ziwe na website,halmashauri zote ziwe na website yaani kuwa na mtandao wa internet wa hudum kwa umma.Kipindi napeleka haya mawazo nilikuwa kijana mdogo,sijui kuandika business plan wala sikuwa na business plan.

Nilijua kuandika Barua kwa kiingereza au kiswahili,niljua kuvaa tai na kupiga viatu rangi.Hakuna hata wazo moja nililofanyia kazi mpaka leo ila nafurahi kwamba yalifanyiwa kazi na sasa mengi ya yale niliyowaza yako tayari.Mimi niliwaza smartphone miaka mingi kabla haijawepo.Baada ya tu ya kuona simu na kuona Computer basi akili yangu iliwaza namna ya kuweza kufanya secreen ya Computer iwe kama ya SIMU yaani iswie ile Chogo bali iwe kama ya simu.na ile circuti ya computer iwe ndogo kama ya simu.au kubwa kiasi.Sikuwa nimewahi kuona laptop(Sidhani kama ilikuwepo sokoni)

Sasa hivi nimekuwa zaidi na tayari failures na changamoto za maisha zimenifundisha uoga.Kabla yakufanya jambo natumia muda mrefu zaidi kuwaza na ninaogopa zaidi kukosea kuliko ninavotamani kufanikiwa au hata kujaribu kufanikiwa.Sipendi hii tabia ila nitabia ambayo wengi.Tunayo.Ujasiri wangu umebaki katika kuandika maandiko JF,huki nikijificha nyuma ya ID na kujaribu kuwatia moyo wengine.Kwa sasa inatosha ila lazima tufnye zaidi.

Sasa baada ya utangulizi huo mrefu nataka nikwambie ukweli Mchungu.Utakufa.Anytime anyhow but UTAKUFA so Make the most of NOW.Anza na ulicho nacho hapo ulipo,usiogope kukosea wala kukosolewa.Wewe sio wa kwanza wala hutakuwa wa Mwisho so Please Start NOW.

Usisubiri kesho au baadaye,Usitafute sababu wala kisingizio,Amka,Anza kuchukua hatua.Anza kubadilisha DUNIA kwa kubadlisha maisha yako.Sikupambi nakwamba ukweli siku moja utajilaumu kwa nini hukuchukua hatua na utaishia kusimulia tu kwamba niliwaza hivi,nilitaka kufanya hivi n.k.Na huenda usipate hata hiyo nafasi ya kusimulia,Utakuwa mavumbini unaliwa na funza.

Ukishakufa huna lako,huna chako,Hata Threads zako JF zinapoa,Hata videmu vyako vitakusahau,masela watakusahau,Mkeo na watoto watakusahau,Ila kama ulifanya mambo yale mambo yatabaki kuwa ni UKUMBUSHO wako duniani hata kama ni madogo.

Anzisha Biashara Mpya ikifa anzisha yingine,ikif anzisha nyingine na nyingine tena.Jifunze vitu vipya.Usiache kuota Ndoto,Usikate tamaa usiogope kujaribu wala usijinenee maneno ya kukata tamaa wala usikatashe tamaa wengine.CHukua HATUA ishi maisha yako kwa viwango vingine.

Mungu akibariki.

Iwapo una maoni zaidi basi tuendelee kuchangia kwenye comment
 
Appreciate sanaa mkuu
 
nakubaliana na wewe, kushauri watu wasiogope kuanza. Sema we jamaa una kamba sana kwamba uliwaza kuvumbua smartphone, magari ya umeme, mpesa nk nk ila walioanzisha wakakuwahi tu aise hata rocket uliwaza kugundua Musk akakuwahi eti ?! Hata robotics na neural link uliwaza kugundua au sio ?! Hyperloop technologo na cyptocurrency bila shaka pia ulipata idea za kuvumbua pia eti mkuu ?!

Hapa ndio mamotivational speakers hua wanakosea. Kuzidisha chumvi chumvi chumvi mpaka wanaonekana kabisa ujuaji mwingi porojo nyingi uhalisia zero

Nilikua makini na ujumbe wake mara nkakutana na hizo kamba [emoji23][emoji23][emoji23]huyu mwamba kaibiwa idea mpk na Elon musk [emoji23][emoji23]
 
Habari za wakati huu,

Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na jitihada zako za kutafuta mafanikio katika maisha yako. Niseme tu ukweli kwamba ninaandika andiko hili nikiwa katika maombolezo ya msiba.Nina Misiba ya watu tofauti katika mazingira tofauti ambao walikuwa ni wateja wangu,rafiki zangu and role models wangu.Misiba hii inaniuma sana kwa sababu ya umri wao mchanga,maono yao makubwa,mafanikio ya makubwa lakini zaidi ni namna ambavyo KIFO kimeamua kuwachukua bila huruma.

Vijana hawa ambao nimefanya nao kazi kwa vipindi na mazingira tafauti walinifundisha mambo mengi sana.Hata hivyo vifo vyao vimenifundisha Jambo kubwa zaidi.We have limited TIME,Limited Capabilities,Limited Resources,Limited opportunities and we are Limited Editions.

Leo nataka nisisitize zaidi kuhusu mimi na wewe kuwa Limited Editions na namna ambavyo tunaweza kutumia Limits zetu katika kuhakikisha kwamba tunafanya maisha yetu na ya wale wanaotuzunguka kuwa bora zaidi.Wakati naanza kufanya shughuli za biashara nilikuwa kijana mdogo nisiyekuwa na uzoefu ila niliyekuwa na shauku kubwa sana ya mafanikio.

Ninazikumbuka enzi zile ambazo nilifikia kwenye Ofisi za makampuni na kuzungumza na wakurgenzi.Nakumbuka enzi zile nilipkuwa naenda wizarani kuomba miada na waziri viongozi wa taasisi huku nikiamini kabisa kwamba nilikuwa na mawazo ya kipekee na ya kibunifu ambayo yangeweza kubadilisha dunia.Kiukweli hayakuwa mawazo mapya wala ya kipekee. Ila nilikuwa na ujasiri.

Wengi mnaosoma andiko hili mnaweza msiamini ila niliwahi Kupeleka wazo la Mobile Payment(MPESA )kwa meneja mmoja wa Vodacom ambay alikuwa Muhindi SIkuwa najua hata kufanya codind ila niliwaza tu kwamba kama meseji inaweza kutumwa kuonesha muamala umefanyika basi inawezekana.

Nilisha enda hadi TIRDO kueleza wazo la magari y umeme miaka mingi kabla Elon musk hajawa maarufu.Nlshafika Hadi wizara ya teknolojia na sehemu inaitwa costech kabla hawajawa na innovation hubs nikiwa nataka kufanya mrdi wa kuingiza waizara zote mtandaoni ziwe na website,halmashauri zote ziwe na website yaani kuwa na mtandao wa internet wa hudum kwa umma.Kipindi napeleka haya mawazo nilikuwa kijana mdogo,sijui kuandika business plan wala sikuwa na business plan.

Nilijua kuandika Barua kwa kiingereza au kiswahili,niljua kuvaa tai na kupiga viatu rangi.Hakuna hata wazo moja nililofanyia kazi mpaka leo ila nafurahi kwamba yalifanyiwa kazi na sasa mengi ya yale niliyowaza yako tayari.Mimi niliwaza smartphone miaka mingi kabla haijawepo.Baada ya tu ya kuona simu na kuona Computer basi akili yangu iliwaza namna ya kuweza kufanya secreen ya Computer iwe kama ya SIMU yaani iswie ile Chogo bali iwe kama ya simu.na ile circuti ya computer iwe ndogo kama ya simu.au kubwa kiasi.Sikuwa nimewahi kuona laptop(Sidhani kama ilikuwepo sokoni)

Sasa hivi nimekuwa zaidi na tayari failures na changamoto za maisha zimenifundisha uoga.Kabla yakufanya jambo natumia muda mrefu zaidi kuwaza na ninaogopa zaidi kukosea kuliko ninavotamani kufanikiwa au hata kujaribu kufanikiwa.Sipendi hii tabia ila nitabia ambayo wengi.Tunayo.Ujasiri wangu umebaki katika kuandika maandiko JF,huki nikijificha nyuma ya ID na kujaribu kuwatia moyo wengine.Kwa sasa inatosha ila lazima tufnye zaidi.

Sasa baada ya utangulizi huo mrefu nataka nikwambie ukweli Mchungu.Utakufa.Anytime anyhow but UTAKUFA so Make the most of NOW.Anza na ulicho nacho hapo ulipo,usiogope kukosea wala kukosolewa.Wewe sio wa kwanza wala hutakuwa wa Mwisho so Please Start NOW.

Usisubiri kesho au baadaye,Usitafute sababu wala kisingizio,Amka,Anza kuchukua hatua.Anza kubadilisha DUNIA kwa kubadlisha maisha yako.Sikupambi nakwamba ukweli siku moja utajilaumu kwa nini hukuchukua hatua na utaishia kusimulia tu kwamba niliwaza hivi,nilitaka kufanya hivi n.k.Na huenda usipate hata hiyo nafasi ya kusimulia,Utakuwa mavumbini unaliwa na funza.

Ukishakufa huna lako,huna chako,Hata Threads zako JF zinapoa,Hata videmu vyako vitakusahau,masela watakusahau,Mkeo na watoto watakusahau,Ila kama ulifanya mambo yale mambo yatabaki kuwa ni UKUMBUSHO wako duniani hata kama ni madogo.

Anzisha Biashara Mpya ikifa anzisha yingine,ikif anzisha nyingine na nyingine tena.Jifunze vitu vipya.Usiache kuota Ndoto,Usikate tamaa usiogope kujaribu wala usijinenee maneno ya kukata tamaa wala usikatashe tamaa wengine.CHukua HATUA ishi maisha yako kwa viwango vingine.

Mungu akibariki.

Iwapo una maoni zaidi basi tuendelee kuchangia kwenye comment au tuwasiliane kwa email masokotz@yahoo.com Tujadili zaidi

Nakutakia wakati mwema.

Thanka thanks barikiwa sana.
 
Nilikua makini na ujumbe wake mara nkakutana na hizo kamba [emoji23][emoji23][emoji23]huyu mwamba kaibiwa idea mpk na Elon musk [emoji23][emoji23]
Mkuu,hakuna kitu kama kuibiwa idea mkuu,Kila mtu ana kichwa chake na ana uhuru wa kuwa na ideas.Hata sasa hivi nina ideas hata wewe hapo ulipo una ideas.Anyways
 
Upo sahihi anza na ulichonacho cha muhimu nidhamu n trust the process ukisema usibiri muda upo limited hasa wale ambao hawajanzisha familia n.k
 
Back
Top Bottom