Wananume kama unajisikia umechoka. na ukiingia mchezoni unakua kama ndo unamchokoza mwenzio, si bora upospond for the next night? au inakua ngumu?
VIVIAN hii rangi ya maandish inaniumiza macho
Mbona majibu yametolewa mama! Angalia baadhi ya post zilizotangulia.Mbona hamjibu mnaguna tu:smile-big:
Mbona majibu yametolewa mama! Angalia baadhi ya post zilizotangulia.
It is possible for men kufake kama girls!
Not possible at all! Ejaculation signifies men's climax!! The lady can prove it by checking and finding some mg of first class protein in her cup!!!
Mbona hamjibu mnaguna tu:smile-big:
........sio kuwa ni wasiri na hatujala yamini, tumefundishwa kutotoa siri za vyumbani kwetu!FL1 hawa watu nimeamini ni wasiri. kikwetu tunasema wamekula Yamini.
Naomba tu niwaambie kuwa ukweli ndio huo. Msiwe kwenye vijiwe mnapeana sifa. ohh! nilimkomoa yule ohh! sijui nini, poleni sana, Habari ndio hiyo
majibu mengine kweli ni fake duh!........sio kuwa ni wasiri na hatujala yamini, tumefundishwa kutotoa siri za vyumbani kwetu!
Binafsi kama sijiskii siwezi kujilazimisha, labda asisitize. Ngoma pale wote mnapojiskia, kisha yeye akawahi kufika na ham yake ikakatika wakati mimi mtarimbo ndy kwaanza umechachamaa mpk unatetemeka! kuendelea "kumfanya" mwenzio wakati hajiskii ni kumuumiza tu, na kukatisha ghafla ni kumuumiza kisaikolojia pia (anawaza hajakuridhisha!) Hapo dawa ni kufeki na kumalizia kwa jeli.
VIVIAN hii rangi ya maandish inaniumiza macho
Brada nilisahau! hii rangi hata mimi inanipa kichechefu. Simaanishi kwenye mpira namaanisha kwenye siasa
hapo umenena. Sidhani kama kufanya kila siku ni nzuri. mnaweza pumzika hata wiki au mbili. ila tatizo linakuja kwenye uaminifu. unaweza fikiri mwenzio kapumzika kama wewe kumbe unaibiwa.
FL1 hawa watu nimeamini ni wasiri. kikwetu tunasema wamekula Yamini.
Naomba tu niwaambie kuwa ukweli ndio huo. Msiwe kwenye vijiwe mnapeana sifa. ohh! nilimkomoa yule ohh! sijui nini, poleni sana, Habari ndio hiyo