Toa Mzamiru weka NiyonzimaDo or Die Aussems Anza hivi kesho
1-Aishi Manula
2-Zana Coulibaly
3-Mohamed Hussein
4-Erasto Nyoni
5-Pascal Wawa
6-James Kotei
7-Mzamiru Yassin
8-Clatous Chama
9-John Bocco
10-Meddie Kagere
11-Emmanuel Okwi
Formation 4-1-3-2
Subiri keshoMtapanga kikosi mpaka mchoke lakini ushindi msahau
Barafu la moto
Yanga iko kundi ganiMtapanga kikosi mpaka mchoke lakini ushindi msahau
Barafu la moto
kundi la mendeYanga iko kundi gani
Do or DieSubiri kesho
Iko kundi moja na Lipuli FC wana paluhengo.Yanga iko kundi gani
Yanga wanalipa Simba ashindwe kweli?
Sasa huku kwa wababe wanafata nini?
Juuko yupo lkn, kwa nini mnamsahau?Nyoni hawezi kucheza hana match fitness..yule chizi Bundala sijui nani amkabe Jean marc Makusu..pembeni kuna kishada Tuisila Kisinda..kati Fabrice Ngoma(nilipenda Mkude awepo tuone battle)beki kuna Yannick LITOMBOO...ila nawapa mikia 40/60
Wana kisebusebu na kiroho papo.Sasa huku kwa wababe wanafata nini?
naunga mkono hoja.
Nyoni hajawa fiti ila angetusaidia sana maana ndio mfunika mashimo wa Wawa