Do we have???

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
18,150
Reaction score
9,255
Je kuna timu ya rugby tz ??? Na kama hatuna kunampango wowote wa kuanzisha?
 
Zipo pale Lugalo jeshini na pale Arusha kuna shule ya watoto wa kibwenyenye yenye makao makuu yake kwa Odinga
 
Zipo pale Lugalo jeshini na pale Arusha kuna shule ya watoto wa kibwenyenye yenye makao makuu yake kwa Odinga

aaaahhhh ok thank u good to know we do have it..
 
Lugalo jeshini raia wanaruhusiwa kushiriki au ndio wale makomandoo tu wa KJ 302 ndio wanaruhusiwa
 
Je kuna timu ya rugby tz ??? Na kama hatuna kunampango wowote wa kuanzisha? View attachment 16136

Njoo Arusha zipo nyingi tuuu kuanzia kwenye shule za wageni hadi academy zetu uchwara... Arusha tuna uwanja unaitwa Friedkin Recreation Centre (FRC) ni mzuri sana una milikiwa na wazungu wa RSA wa family ya Friedkin upo karibu na airport ya arusha barabara dodoma. Pia kumbuka Rugby Union Tanzania ndicho chama pekee cha michezo chenye makao yake nje ya jiji la Dar es Salaam!

So karibu sana. Picha ya uwanja wenyewe hii hapa.
 
wao asante sana kwa information yako.... ninarafiki yangu anakuja huko Tanzania kukaka kwa muda na alitaka kujua kama kuna team za rugby yeye anatoka New Zealand.. nitamweleza hayo asante sana:redface:
 
asante sana kwa picha pia take care:smile:
 
wao asante sana kwa information yako.... ninarafiki yangu anakuja huko Tanzania kukaka kwa muda na alitaka kujua kama kuna team za rugby yeye anatoka New Zealand.. nitamweleza hayo asante sana:redface:

rafiki gani tena huyo? mle kwangu tu...
 
rafiki gani tena huyo? mle kwangu tu...

ni mcheza rugby alitaka kujua kuhusu team za rugby hapo Tanzania... alijua Kenya wanazo lakini yeye anakuja kuishi TZ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…