Do you agree with Zamaradi Mketema?

Do you agree with Zamaradi Mketema?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Me I agree with her. Dada mkubwa amedadavua tofauti Kati ya MVUTO na KUVUTIA.

Big Up Zamaradi
Screenshot_20200427-151010.png
Screenshot_20200427-151020.png
Screenshot_20200427-151027.png
 
Chakula chenye harufu nzuri ndo chenye ladha nzur...viungo ndo vinaleta ladha nzur
Halafu mvuto na kuvutia si mulemule tu....Moja nomino nyingine kitenzi..Mwenye mvuto anavutia...Au kiswahili kigumu siku hizi😅😅
 
Lugha Ngumu sana imetumika, kuielewa lazima uwe umetuliza ubongo, otherwise utaishia kujua heading tu... fasihi ya ndani na maneno yaliyotumika yanahitaji umakini na utambuzi usiofikirika. "Mvuto v/s Kuvutia". "Yai na Kuku kipi kilianza".
 
Chakula chenye harufu nzuri ndo chenye ladha nzur...viungo ndo vinaleta ladha nzur
Halafu mvuto na kuvutia si mulemule tu....Moja nomino nyingine kitenzi..Mwenye mvuto anavutia...Au kiswahili kigumu siku hizi😅😅
Hapo kwenye mvuto mi nimemuelewa. Amemaanisha nyota
 
" Mwenye mvuto hafanyi vitu ili kuvutia ila Anavojiweka ndio anavutia bila ya yeye kutaka hivyo " Ngumu kidgo kumuelewa
 
Angeitumia hii elimu kumtuliza Rugemalira(May He RIP) tungemuelewa
 
Back
Top Bottom