Ina Tatizo gani hiyo kauli mkuu? Wacha kuyafanya maisha yako kuwa magumu kiasi hicho mkuu
Hapo kwenye mvuto mi nimemuelewa. Amemaanisha nyotaChakula chenye harufu nzuri ndo chenye ladha nzur...viungo ndo vinaleta ladha nzur
Halafu mvuto na kuvutia si mulemule tu....Moja nomino nyingine kitenzi..Mwenye mvuto anavutia...Au kiswahili kigumu siku hizi😅😅
... exactly; ni ujinga tu hakuna cha maana alichoeleza! KUVUTIA = (kitenzi) kitendo; MVUTO (nomino) jina (la dhahania).Noun vs Verb...
Rubbish...
Huwa nachukia sana matumizi mabaya ya kiingereza.Kichwa cha habari umeandika kiingereza wakati mada unayoizungumzia huyo Zamaradi kaiandika kwa kiswahili!Ok kwahiyo tufenyeje?