Ni kweli usemayo Mbu ila amini usiamini bado wapo ambao uwa na uchumba mfupi sana tena ule ambao wanakuwa wapofu kiasi kwamba akiaambiwa muda huu tumia kumchunguza mwenzi wako yeye anautumia kuyaona na kutafuta mazuri yake tu. Tena basi akisharidhika hakuna jiwe la dahani litakalomzuia asifunge ndoa kwani huona kama mnamwuonea gere amepata mwenzi bora...
hapana bro, ila nahitaji unitajie Right reasons zinazowafanya watu kuoana.
Siku hizi kumeibuka sana huo msemo "I married a wrong partner", "I married for wrong reasons", nk!... zi wapi "personal" responsibilities?
Right reasons ni watu kupendana kwa dhati. True love lasts longer than beauty or money and in fact is is permanent. Another right reason is choosing someone you are compatible with. Lazima uwe na mtu ambao mtaweza ku coexist.
...Shukran ingawa sidhani kama hizo ni sababu tosha kufanya watu waoane. Anyway, kila mtu na 'opinions' zake. Tuendelee kukata issues nyingine...
Ngabu! unaogopa Reality ya kuamka kitanda kimoja na mtu huyo huyo!
come on! hutaoa basi! unaonaje ukajifunza kubadilisha 'kitanda' siyo kila siku mlalo mmoja! u know what i mean right!?
Mkuu kuna sababu nyingi tu zingine uli taka nilist zote? Najua hizo hazitoshi but nimekupa mfano.
Wrong/poor/weak...etc interviews will lead to wrong choices. Interview zembe hupelekea hata wenye vyeti feki kupita ndani. Ukiongozwa na UPENDO pigania kumjua kwa kina mwenza.
I tend to agree as well, that wrong motives zachangia sana haya matatizo.
...π usijali, najaribu tu kupanua wigo wa hoja. Shukran kwa kuelewa.
Unajua mkuu pia nadhani kila mtu ana personal preferances. Kuna vitu mimi nitaviona muhimu wewe kwako ikawa siyo ishu and vice versa. Ndiyo maana nika taja compatibility kuwa lazima uwe na mtu ambae in general ni mtu ambae tabia zake uta ziweza...
...exactly, mambo ya "getting married to (him/her) because you cannot live without...!"
That the first two years of marriage are the toughest? This question comes to me in light of the report that Usher Raymond filed for petition to dissolve his marriage to his wife of nearly two years....