Do you feel LOVED?

........lol........ Yaaani NK wewe kweli i wish i could see you na hubby wako.... yaani naona unamjulia mwenyewe hakuna mwanamke anamuweza... Dah! Swali (if you don't mind) amewahi shindwa jibu?? What did you do??

Si ruhusu jibu lingine kwa hiyo lazima nipate jibu nalotaka. Majibu ya "thanks" sijuhi "me too" kwangu marufuku. The purpose ni kumuumiza alonae pembeni (if any) na kuonyesha kuwa mimi kweli nyumba KUBWA. Maana najua kama kuna wa pembeni hawezi pata hiyo privilege ya kuambiwa I love you kwenye simu on my presence. Nyumba kubwa itabaki kuwa namba one forever! Ila hata yeye yuko makini na ninavyomjibu kwenye simu. Hapa suala si cheating tu ni kupima whether your partner still feel proud to show openely to friends and whoever is with him/her at the moment that he/she is into you.

........lol........ Yaaani NK wewe kweli i wish i could see you na hubby wako.... yaani naona unamjulia mwenyewe hakuna mwanamke anamuweza... Dah! Swali (if you don't mind) amewahi shindwa jibu?? What did you do??

Dah! I love it nikikutana na mwanamke mwenzangu mwenye msimamo ulo simama kama wako... You know what is yours... una appreciate what is yours... and protect what is yours.... Nyumba KUBWA.... BRAVO!!! And keep up the Spirit.... I hope wadada/mama tutajifunza kitu from this post... Be blessed.

I wish ingekua easy kuweza arise such awareness kwa wanawake wengine ambao siku zoote huwa na papara saana katika mahusiano....

thanks Ashadii kwa post nzuri,lakini mara nyingi huwa tunajifunza baada ya kufanya makosa kwenye maisha yetu.

thanks Ashadii kwa post nzuri,lakini mara nyingi huwa tunajifunza baada ya kufanya makosa kwenye maisha yetu.

You are welcome... Kikubwa Chauro ni kujifunza tokana na makosa.... Sio wee kila siku unakanyagwa tu!! Haipendezi... You have to grow up at some point....

I think sometimes kuwa loved too much kunakuwa kunaogopesha... especially kama watu bado hamjaoana!! Mi nadhani leaving a little gap ya "guess work" inaleta spontaneity katika mapenzi. Lakini kukiwepo completeness kunaweza kupelekeana kuchokana haraka... I don't know, am just thinking. Or may be, pale break up inapotokea, kuumia kunakuwa kukubwa zaidi. But if you leave some gaps in between, may be kwa watu kama siye ambao tuko a bit "random" na spontaneous kunatufanya tuzidi kusaka zaidi hiyo love from our spouses and lovers.

Ni mithiri ya kuchimba almasi kwa nguvu zako mwenyewe. Kila unapokutana na king'aacho, [cubic zirconia,{sekeni- Sukuma word}], (love indicators ), shauku linakupanda na kuongezeka kwa mori wa kuchimba zaidi. Pale unapokutana na hiyo almasi kweli, mtu weweeee, furaha iliyoje!! Unauza hiyo almasi na kutajirika (love satisfaction). Lakini kwa kujua mapato uliyopata na thawabu yake kwako, basi mtu unajichukulia surulu, jembe, na koleo lako na kurudi mgodini tena. Unaanza kutafuta iliyokubwa zaidi kwenye mgodi huo huo (your love)... This happens again and again and again, na ndipo hapo mtu unaamua kununua kitalu chako (kuoa) jumlajumla, knowing finding gemstones from the pit is common and its value is high!

Happy loving peeps!! 🙂

Umeongea ukweli mtupu ashadii, ila mi napendwa mpaka nahisi kero jamani. Lol!

Gosh!! This is deep… and intense… Thank you Steve Dii...

What you have said brings so much sense… But hata hivo Dii nimeshuhudia saana mapenzi ya Uongo siku hizi mpaka inasikitisha hata kwa observer peke yake… I am thinking if you love… Why not give your whole (hata kama hujui kua ndio the right person ama atakae kuja kukuoa/olewa nae&#8230😉 Should I be scared just because there is a chance of being hurt?? I think Not!

Thou nakubali kuhusiana na Gaps… thou kwangu hizo gaps I would interpret as not suffocating each other – i.e Privacy and space…. Kua sasa isiwe sasa kama an old married couple na nyie iwe kama sawa, chances of being married hapo nit a minimal… Nikirudi kwenye analogy ya kuchimba almasi… saa ingine unapokuta almasi haraka, it does not necessarily mean ukichimba more utakuta inayo faa zaidi… NDIO Yawezekana but waweza kuta hio Diamond ulopata inatakiwa tu usiwe na papara… ipe akili yako na attention yako kuikagua… Waweza kuta in all 4 Cs of a Diamond… as in Clarity… Color… Carat and Cut are narurally perfect!! Hata sonara hitaji tena… unaweza i-display exactly the way it is (thou kweli sio guarantee but at the end you will say I tried and move on looking for other diamonds&#8230😉

Umeongea ukweli mtupu ashadii, ila mi napendwa mpaka nahisi kero jamani. Lol!

Husny bana....lol... Hapo ndo hua unanichanganya na statement zako... Wee si uliniambia kua umekua sister (hili swali unakwepa saana kujibu)

Nitazutumia hizi hints kesho na kesho kutwa...Thanx Ashadii. l!

Sangara my dear brother.... tuko pamoja.... Asante pia....

hii ya kumpima mme/mpenzi kwa kumwambia i love you haitoi guarantee kwamba pembeni hayupo na mtu, ubaya ni kwamba siku hizi wa pembeni huwa wanajijua ni wa pembeni na huwa wapole mwenye mali akipiga simu.

Husny bana....lol... Hapo ndo hua unanichanganya na statement zako... Wee si uliniambia kua umekua sister (hili swali unakwepa saana kujibu)

hahahahahaha!

Sister napendwa na padri. Lol!
Ila kupendwa sana ni kero.

hahahahahaha!

Sister napendwa na padri. Lol!
Ila kupendwa sana ni kero.

Hapo nimekupata... sikujua kua yule kijana ni Padri....lol... angalia madhara ya kupendwa saaana hasa kama mtu ana wivu....

Atakaeichukia hii sredi basi atakuwa hana akili timamu.
Naomba niishie hapa maana leo siko katika mood ya kuchakachua sredi kabisa yaani.
Abarikiwe alomuowa Ashadii! aaamen!

Ashadii, thread imetulia sana, mie kwa upande wangu huwa wakati mwingine nahisi maji kupwa na maji kujaa, yaani wakati mwingine najisikia napendwa saaana mpaka najiona im the luckiest woman living in this planet, na wakati mwingine najiona sipendwi, nakuwa mpweke, sometimes unawaza mpaka unalia mwenyewe, then baada ya muda unaona tena mahaba yamerudi, sijui hii nayo ni nini!....na hii hali hainifanyi nikate tamaa ya kukatisha mahusiano

Atakaeichukia hii sredi basi atakuwa hana akili timamu.
Naomba niishie hapa maana leo siko katika mood ya kuchakachua sredi kabisa yaani.
Abarikiwe alomuowa Ashadii! aaamen!

Jamani Klorokwini JF Lawyer.... Dah! Naona Asante haitoshi jinsi ulivonigusa.... But have to say hivo hivo ASANTE SAAANA....Na salamu hizo hapo chini kabisa nitafikisha..... Ila naomba nifanyie favour... na uniambie from a man's perspective walau kimoja ama mawili ambayo naweza ongeza hapo...

Steve dii nimependa mfano wako wa mgodi kwa sana

Ni kweli kabisa Hus haina guarantee aim ni kukomeshea. Wewe unafikiri hao nyumba ndogo wana mioyo ya chuma hawaumii mabuzi yao yakiongea na simu na wake zao na kusema "I love you". Hapa nia ni kuumiza watu roho.

hii ya kumpima mme/mpenzi kwa kumwambia i love you haitoi guarantee kwamba pembeni hayupo na mtu, ubaya ni kwamba siku hizi wa pembeni huwa wanajijua ni wa pembeni na huwa wapole mwenye mali akipiga simu.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…