<br />Ni kweli kabisa Hus haina guarantee aim ni kukomeshea. Wewe unafikiri hao nyumba ndogo wana mioyo ya chuma hawaumii mabuzi yao yakiongea na simu na wake zao na kusema "I love you". Hapa nia ni kuumiza watu roho.
Ashadii, thread imetulia sana, mie kwa upande wangu huwa wakati mwingine nahisi maji kupwa na maji kujaa, yaani wakati mwingine najisikia napendwa saaana mpaka najiona im the luckiest woman living in this planet, na wakati mwingine najiona sipendwi, nakuwa mpweke, sometimes unawaza mpaka unalia mwenyewe, then baada ya muda unaona tena mahaba yamerudi, sijui hii nayo ni nini!....na hii hali hainifanyi nikate tamaa ya kukatisha mahusiano
Kusema kweli tangu nijiunge JF hii ndio sredi ya kwanza nimeshindwa kuongezea chochote, yaani umetwanga kotekote, hivyo hiyo man's perspective ya hii issue pia naona kama tayari iko included kwenye hii post, labda tofauti kubwa nadhani itakuja kwenye sex drive While kwa mwanamke ni ngumu kusex outside relationship na kumaintain same sex speed kwa partner wake (hii itamfanya aanzishe migogoro zembe katika mahusiano ili kuficha anachofanya) , kwa mwanamme anakuwa capable ya kumaintain sex speed ndani ya mahusiano yake hata kama ana kimada pembeni. Nakusudia kusema kwamba ni rahisi sana kumnotice mwanamke ambae hayuko into you as far as sex cheating is concerned kulikoni mwanaumeJamani Klorokwini JF Lawyer.... Dah! Naona Asante haitoshi jinsi ulivonigusa.... But have to say hivo hivo ASANTE SAAANA....Na salamu hizo hapo chini kabisa nitafikisha..... Ila naomba nifanyie favour... na uniambie from a man's perspective walau kimoja ama mawili ambayo naweza ongeza hapo...
Aaaah asha ni kweli kabisa but wanawake huwa tunaumia sana sababu muda woote unakuwa na mapenzi na mtu wako hayashuki ila kwa nini wao yawe hivo, au ndio kama alivosema hapo klorokwini kwamba wanakuwa wamepata kimada akiachana nae ndio anarudi na mapenzi tele kwakoAsante dear for acknowledging…. Kuhusu swala lako… Shantel tokana na uzoefu wangu… kwa maelezo hayo ulotoa katika hii post… ni kua you are in a good relation ship… Mahusiana ya Mapenzi hayako constant… eti kila siku kuwe na so much Love – Ndio mwaweza pendana bado but still naturally tu mambo yanapoa, then yanarudi… on and on and on…. However ni tatizo pale mambo mazuri saana mwanzo but once yakilala basi yamelala moja kwa moja…. Hata wahusika mjitahidi namna gani vibe hairudi… and for a long time… Hivo basi nimependa huo msimamo wako nilo bold… I bliv ni best option.
Kusema kweli tangu nijiunge JF hii ndio sredi ya kwanza nimeshindwa kuongezea chochote, yaani umetwanga kotekote, hivyo hiyo man's perspective ya hii issue pia naona kama tayari iko included kwenye hii post, labda tofauti kubwa nadhani itakuja kwenye sex drive While kwa mwanamke ni ngumu kusex outside relationship na kumaintain same sex speed kwa partner wake (hii itamfanya aanzishe migogoro zembe katika mahusiano ili kuficha anachofanya) , kwa mwanamme anakuwa capable ya kumaintain sex speed ndani ya mahusiano yake hata kama ana kimada pembeni. Nakusudia kusema kwamba ni rahisi sana kumnotice mwanamke ambae hayuko into you as far as sex cheating is concerned kulikoni mwanaume
Klorokwini kuna waume pia nao wakipata vimada wanabadilika sana wanashindwa kuzuia kuonyesha feelings zaoKusema kweli tangu nijiunge JF hii ndio sredi ya kwanza nimeshindwa kuongezea chochote, yaani umetwanga kotekote, hivyo hiyo man's perspective ya hii issue pia naona kama tayari iko included kwenye hii post, labda tofauti kubwa nadhani itakuja kwenye sex drive While kwa mwanamke ni ngumu kusex outside relationship na kumaintain same sex speed kwa partner wake (hii itamfanya aanzishe migogoro zembe katika mahusiano ili kuficha anachofanya) , kwa mwanamme anakuwa capable ya kumaintain sex speed ndani ya mahusiano yake hata kama ana kimada pembeni. Nakusudia kusema kwamba ni rahisi sana kumnotice mwanamke ambae hayuko into you as far as sex cheating is concerned kulikoni mwanaume
Kusema kweli tangu nijiunge JF hii ndio sredi ya kwanza nimeshindwa kuongezea chochote, yaani umetwanga kotekote, hivyo hiyo man's perspective ya hii issue pia naona kama tayari iko included kwenye hii post, labda tofauti kubwa nadhani itakuja kwenye sex drive While kwa mwanamke ni ngumu kusex outside relationship na kumaintain same sex speed kwa partner wake (hii itamfanya aanzishe migogoro zembe katika mahusiano ili kuficha anachofanya) , kwa mwanamme anakuwa capable ya kumaintain sex speed ndani ya mahusiano yake hata kama ana kimada pembeni. Nakusudia kusema kwamba ni rahisi sana kumnotice mwanamke ambae hayuko into you as far as sex cheating is concerned kulikoni mwanaume
Kusema kweli tangu nijiunge JF hii ndio sredi ya kwanza nimeshindwa kuongezea chochote, yaani umetwanga kotekote, hivyo hiyo man's perspective ya hii issue pia naona kama tayari iko included kwenye hii post, labda tofauti kubwa nadhani itakuja kwenye sex drive While kwa mwanamke ni ngumu kusex outside relationship na kumaintain same sex speed kwa partner wake (hii itamfanya aanzishe migogoro zembe katika mahusiano ili kuficha anachofanya) , kwa mwanamme anakuwa capable ya kumaintain sex speed ndani ya mahusiano yake hata kama ana kimada pembeni. Nakusudia kusema kwamba ni rahisi sana kumnotice mwanamke ambae hayuko into you as far as sex cheating is concerned kulikoni mwanaume
Duuh... mkuu, pamoja na ujanja janja wangu wa kusoma kitu mara moja au kutomaliza hata kukisoma, imenibidi tu nilisome bandiko lako mara 3!!! Lina ujumbe ambao kama hauko makini, mtu unaweza kufikiria the opposite... lakini ukitafakari zaidi, unajionea picha hiiiyo inajipa yenyewe!! Ukweli mtupu... you have penetrated deeper into female psychology na kuidadavua ipasavyo! This is the kind of stuffs you learn only if you follow a thread thru and thru... ningeliishia kusoma post ya mwanzishaji na za juu juu tu nisingeliona hili. Bravo!
You have said it Dii... Tatizo lake Klorokwini mpaka aaamue, but he so understands us ladies and relationships.... Alafu Steve huo mtindo wako wakusoma kwa kuperooz... Please at some point you have to stop, unatukosesha kutupo useful inputs zako....
Ashadii,hongera kwa kuyaona hayo kama mwanamke.weenizaidiya mwanamke. Umeongea point sana nimekusoma, ila both of us ha2somani. Nakama unavyojua mpaka uji2mbukize kwenye game ndio uyajuehayo kingine Ashadii.nini mapnz nikipofu kwakila m2. Hataitokee wa2 kukusihi au kukukanya juuya ulienae bado m2 haelewi hadiyamkute.na si kwa wanawake2 wanao shindwa kusoma alama zanyakati, hata sis wanaume 2po.Na maranyingi unapokua mjuzi wakuraipenzi na kua muaminifu itakuwia vgum sana kumpata mwenzio tatizo Alamaza Nyakati. Mwisho nikwelikwamba Asojua kuraipenzi cmjuzi wa mapnz..
hawa mods bwana wameona karibu tunakuwa soulmates wameanza kutublock hadi kwenye kuquot.....kweli aisee sipati picha nimetoka kwako ukanipa bia tatu then home nikapate tena bia loooooo hiyo imposible kabisa,,,, kwa sex kweli hapo mmetushinda na ukizingatia mwanamke akifanikisha kufika kule kunako......hataki hata kuona tu ile kitu@ Shantel, kuna mod kafanya mawivu ,nazani kaniblock nisiquote post zako lol
bek to ur post no 46, wewe umegusia hisia lakini mimi nilikuwa nazungumzia nguvu (uwezo) wa kudhibiti sex drive kwa partner na kimada/kidumu, nakubaliana na wewe kwamba kama mwanaume atakuwa na hisia na kimada zaidi kuliko partner wake basi mambo nyumbani yataharibika, lakini nilichokuwa namaanisha ni kwamba akiamua basi anao uwezo wa kuwasatisfy wote wawili bila mambo nyumbani kuharibika but kwa mwanamke hii kesi ni Impossible.
hawa mods bwana wameona karibu tunakuwa soulmates wameanza kutublock hadi kwenye kuquot.....kweli aisee sipati picha nimetoka kwako ukanipa bia tatu then home nikapate tena bia loooooo hiyo imposible kabisa,,,, kwa sex kweli hapo mmetushinda na ukizingatia mwanamke akifanikisha kufika kule kunako......hataki hata kuona tu ile kitu
@ Shantel, kuna mod kafanya mawivu ,nazani kaniblock nisiquote post zako lol
bek to ur post no 46, wewe umegusia hisia lakini mimi nilikuwa nazungumzia nguvu (uwezo) wa kudhibiti sex drive kwa partner na kimada/kidumu, nakubaliana na wewe kwamba kama mwanaume atakuwa na hisia na kimada zaidi kuliko partner wake basi mambo nyumbani yataharibika, lakini nilichokuwa namaanisha ni kwamba akiamua basi anao uwezo wa kuwasatisfy wote wawili bila mambo nyumbani kuharibika but kwa mwanamke hii kesi ni Impossible.
My dear, nifanyeje jamani, umeme wenyewe huu wa kutungua...wee hata ndege uwanjani zinakatiwa?!! kilapitopi changu kinapokuwa full chaji nashiriki bila tabu mwaya!!! lol
Seriously, ni ka-uzembe tu, but the good or bad thing is that - am well aware of it!! Nitajitahidi... and won't mind being reminded too. Sawa?! 🙂