Do you feel LOVED?

I was a bit apprehensive back there.. but then had previously examined your post # 66 which made me perceive for a fact you discern what you are about… as long as you have written that, I am OK' and realized no need for being vexed… For you have deep insight… A lot of men have difficulties understanding the opposite sex, But at least you have tried/trying… otherwise I would have been worried and mara moja tungeanza PM Psychology sessions….lol…

The only matter of which to be concerned is the type of lady you get… her understanding and intelligence… or best or important of all…. If she is compactible with you in those important areas??? Ambazo ndio nguzo ya relationship…. Iwe sex ama mahusiano ya One on One….

Ni kweli lakini huoni kuwa kama lengo ni kumuumiza huyo alo kifuani mwake kuwa lengo limetimia. Hivi unadhani hao vimada hawana wivu ati? Wanao sana ila ndio hivyo bahati mbaya wameishia kuwa the other woman.

Ukitambua hilo hapo juu as a wife and you still stick to your husband... Hio ndio inafanya ujulikane kweli ni Mke - nawaonea saana huruma wanao achia ngazi kwa mwanamke ambae mumewe hajaona worth it kumuweka as a wife kama yeye... Ni ngumu ndio... but hakuna taasisi ambayo ni rahisi kuiendesha.... Let alone marriage....

I am so happy for you... I wish it was the same kwa wanandoa woote.... What can i say hapa?? Wanandoa tunamitihani mno!! saaana sie akina mama... Mungu mwenyewe anajua..... sometimes roho inaumaaaaaa!! But they you pray kua Mwenyezi Mungu awasimamie na kuwajalia katika hio ndoa na msonge mbele... inapotekea imekaa vema kama wewe saizi unasema THANK GOD!! and Live the moment... wishing it would go on forever....

Gaga Dear... Thank you for sharing... and I am glad you are my friend na kwamba siku zoote unanikubali saaana.... as ninavokukubali....

Ashadii ngoja niongeze kitu personal kidogo, as namjua mwenzangu alivyo na akipenda huwa anagharamia hakuna mfano, sasa hapo nyuma kuna wakati nilijua kabisa ana kimada nje, baada ya maugomvi sana nikaamua kutulia tu kumwangalia, mie nikawa na demand sana , mara nibadilishiwe hiki mara kile , mara nataka hiki mara kile,na kwa vile anajua nina hasira nae hataki hata kuniuliza maswali ananitimizia

nikirudi kwenye thread yako hapo nitakuwa nimeangukia pua kwenye point ile ya material needs au ni sawa kumkwangua mwanaume ambaye ana kimada na wewe bado uko as a wife?hii inalipaga au ni ya kizushi tu

Mi binafsi i don't care if s/he love me(kama ningekua na mahusiano) coz najua maana halisi ya upendo(nitafafanua ukitaka)kuhusu wivu sikubaliani kabisa kuwa unahitajika kwenye mapenzi kwani ni moja ya udhaifu wa kijinga(nitafafanua pia ukitaka)all an all love ni maamuzi au ni uhalisia wa yote!Hata sisi kwa maana ya uumbaji ni asili ya upendo!

Tufafanulie Eiyet kwa faida ya wengi

good for u my friend vilager balaa vinatoaga matumaini n.goja viishe kichwani naona nshaanza kuchakachua hapa.

Mie naona kikubwa tu mume wangu asijue kua najua ana kimada.... kweli kabisa patakua padogo humo ndani, maana hizo changes zitatokea zitakua ni za kufa mtu... na hio psychology treat nitampa... kweli at the end atajuta.... (ndio maana sipendi ajue nikikua for it will take a lot of my energy in me which i hate!! na ndani kunachafuka kabisa...)

Nafikiri hio ni moja ya njia ya kumkomoa...lol... material demand mpaka nakoma mwenye.... nafikiri namengine kibao ambayo inakua kazi kidogo kuanika hapa... maana ukiangalia hata tendo la ndoa... kweli hamu inaisha kabisaa....

Dah! Eiyer... hii post has so much anger in you!! Vipi?? Alafu kuhusu wivu naona hujanipata.. Huwezi niambia kua utaona sawa mpenzi wako aku treat utafikir kakake... Please read the following upya and say that again, then nitajibu.... Maana nitakua nisha kupata where you are coming from...

LoL... napenda msimamo wako na uwazi wako Gaga!

Maji ukiyavulia nguo ni sharti uyaoge, ndiyo, nakubaliana nawe. Chakujiuliza hapa ni kile kilichokupelekea wewe kuyavulia nguo hayo maji... je, uliambiwa yanakufaa kuoga, yanakutosha kuoga... maana kama ni maji ya kwenye kisadolini, yanini uvue nguo zote... Je, unajua joto la maji hayo, hakuna mabonge ya barafu yamechanganyikana na povu lakini tu huyaoni. Je, ni ya moto sana na yanaweza kukuacha umebabuka? Je, kalai halijatoboka na maji yasitengemae ndai...maana unaweza kuamua kuvua nguo na kukuta maji ndiyo yamebakia robo unaishia kuosha kichwa tu, huku sabuni ikikuingia machoni!!!

Gaga, analogy yangu kwa AshaDii kwa kutumia msemo huo ni kule kuonesha kwamba, saa nyingine watu tunapoingia kwenye mapenzi tunachukulia mambo for granted. Ni sawa na misamiati yetu ambayo tunaichukulia tu kirahisi rahisi bila kujiuliza imetungwatungwaje na kufikia hapo. Vivyo hivyo basi, kwa mfano wangu kutumia msemo wa maji kuyavulia nguo, nililenga kuelezea kwamba - kabla ya kuyavulia nguo hayo maji ni sharti uwe umeyachunguza ipasavyo. Hapo nikijaribu ku-reason na input kutoka kwa AshaDii iliyotaja kwamba kwanini mtu u-hold back pale unapoingia kwenye mapenzi na mtu.

Kuhusu mamba kuwa ndani ya maji na almasi kuwa upande wa pili... (nimependa combo ya mfano wako - so witty! 🙂 )... Hapa napingana nawe. Napingana nawe kwani siwezi ku-risk kupoteza maisha yangu eti tu kwa vile kuna almasi upande wa pili. (matter of fact unaweza usijue hata value yake - halichelewi kuwa lisekeni tu liking'aa!!!) Same goes kwa mambo ya entrepreneurship. This applies a lot in stock markets. For a sensible investor, you can't invest more than what you are prepared to lose. Ukipoteza maisha, au kudhurika kwa kunyofolewa miguu na mamba huku umeifikia hiyo almasi, utafurahia vipi mauzo yake??! Na kwenye business same thing applies. You can't invest into something you know the risks out weighs the reward. Risky investment ina reward kubwa sana...but there must be justification.

Basi, nikatika misingi hiyo hiyo ya kusema maji ukiyavulia nguo ni sharti uyaoge. Kwa mtu mwepesi ambaye anaweza kushindwa kutafakari zaidi, kuambiwa hivyo anaweza akajikuta akiondoa ule wajibu wa kuyachunguza maji kabla ya kuyavulia nguo. Maana mambo madogo madogo hugeuka tabia. And it is at this juncture I reiterate my point about keeping reservations in relations, particularly when such a relationship is at early stage.

"Task at hand.." 🙂

Gaga,wivu ni dalili tosha ya kutokujiamini,kama unajiamini kwa nini uwe na wivu,pia ni dalili ya kutokumwamini mwenzio huwezi kumwonea wivu mtu unaejua kuwa hawezi kukucheat na hata kama unaona kuna mambo anamfanyia mtu mwingine kwako itakuwa poa kwani unamuamini na anakufanyia zaidi!Kwa kifupi wivu ni aina ya umimi yaani unaumia kwa mpenzi/mume akimfanyia mtu mwingime jambo fulani!Upendo maana yake ni kumkubali mtu yoyote/mnyama bila kujali anakurudishia nini wewe ni kutoa tu!

Maelezo yako yako based on too much Logic Dii....lol... Naona this is you below....

Courtesy ya Michael Bolton.... ( I wanna know what LOVE is...)

I gotta take a little time
A little time to think things over
I better read between the lines
In case I need it when Im colder

In my life there's been heartache and pain
I don't know if I can face it again
Cant stop now, Ive traveled so far
To change this lonely life

good for u my friend vilager balaa vinatoaga matumaini n.goja viishe kichwani naona nshaanza kuchakachua hapa.

ha ha ha.... Chauro bana!! vikiisha kichwani usisahau maagizo yangu....

You still gotta bear in mind that - I retain the randomness and spontaneity where logic is inapplicable and where fails!!!

Ahsante kwa wimbo Dii!!! Lol

C'mon Rocky... I don't believe you....lol... You can do better than this....

Ila nimependa the above opinion umetoa.... Kweli haipendezi, sijui ni kwanini mtu arande hata anapata a perfect fit! And thanks for the acknowledgement...

Subiri I will come up with something. Worry not

A friend of mine,msichana.hakutaka kutembea wameshikana hata mkono
na jamaa na last month wameachana for good.(that is what she wanted)

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…