Do you feel LOVED?

 
"Love is a temporary madness. It erupts like an earthquake and then subsides. And when it subsides you have to make a decision. You have to work out whether your roots have become so entwined together that it is inconceivable that you should ever part. Because this is what love is. Love is not breathlessness, it is not excitement, it is not the promulgation of promises of eternal passion. That is just being "in love" which any of us can convince ourselves we are.

Hii ndio love Bebii na sio hiyo definition ya huyo hapo juu
haya mambo ya kusema nakupenda nakupenda halafu unaficha mikono nyuma hiyo sio love
na hakuna free service nowdays
 
 

Sio wasichana hata baadhi ya wanaume nao wanakasumba hiyo ya kungangania .
 
 
I feel loved by my God, my parents n my son but

I feel used by men!


Kaunga dear mbona huku tusha toka last time tumekutana kwenye thread.... Dear for the sake of your future happiness you have to open up and stop being pessimistic... NDIO i know kua mwanao anakupenda... But kuna mambo the kid hawezi fulfil, wala Gap ambayo ipo rohoni kwako... Woote tumetoka huko huko but we did rise... and that is what makes us STRONGER.....
 
AshaDii naomba maana ya huu msemo nilioquote kwenye movie moja jana sijui ni tamthilia


" A man can show you his bed but not his home"
 
...mizani ya mapenzi. Katika siku 30 kila mwezi, au siku 365 za mwaka, mwenza wako anatumia muda gani ku behave namna hiyo?...inawezekana ni circles/phase mbali mbali tofauti za mapenzi i.e, motomoto, vuguvugu, au baridi...


Mbu i think the post ni more of these relationships ambazo furture yake kidogo undefined.... But kama ni uhusiano wa mda mrefu kuna kupanda na kushuka kwa Mapenzi.... Hili suala Shantel nae page za hapo nyuma kauliza.... as seen below... na nilimjibu as seen pia....

 


aaaiiiseee!! Wanawake we HATE that.... afadhali kwenye I MISS YOU...

I LOVE YOU.... kama umejibu thank you... kulikua na ugumu gani wa kusema I Love you too??
 
ulicho andika ni ukweli mtupu na ni dalili tosha kabisa za kubani mpenzi wako yuko kimapenzi, kipesa etc
 


Tulizo Asante saana kwa post ilotulia hivi.... THANK YOU.... Ila tu nina tatizo na wivu... hili swali nimelenga kwako.... na hawa members wengine ambao wako the same line of thinking kama wewe.... namely... TATIZO MDA, EIYER and NYUMBA KUBWA... ili woote tuwe in the same line.... WIVU.... Ni nini??
 


Dah! Lov' Believing the above... One is never fully happy in her life time.... i hope the daughter did not heed... The mom has so much anger....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…