..Nakiri silijui hili. Tatizo ni kuwa siku hizi matangazo ya kujiongezea kipato kupitia mitandao yamekuwa mengi na mengi ni feki tu ndio maana hata kuyasoma hatuyasomi tena! Mkuu Boflo hebu nijuze hapa mambo yalivyo ili kila wakati nikiwa JF niwe pia najiongezea kipato eBay. Asante.