Cassava
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 282
- 36
Wadau ma great thinkers, naomba nitoe ujumbe ambao nadhani unaweza kuwasaidia wale wapendao mambo ya ku Fix matatizo kwenye computer hasa window seven.
Si unajua bongo, nilimuomba mjasi a.k.a Mjasiliamali mmoja akaniwekea window seven. baada ya siku kadhaa ikaniandikia haya; "You must activate window within 3 days to continue using features- Click to continue"
Nilianza kuogopa, nikijua baada ya siku 3 haitafanya kazi, basi nikajipa moyo nikaanza ku google hilo tatizo ikaja from moja inayoitwa window 7 Hii hapa (Windows 7) nikagonga, kisha nikasoma post na comment mbalimbali, nikakutana na hii comment iliyokuwa inafanana na tatizo langu,
Remove wat not working (Remove wat not working)
Nikaigonga (nikai-click) ikanipelekea kuona hii comment yenye title "Daz Loader" iliyokuwa inaonyesha website mbili ila mimi nilichagua hii website;
1. http://forums.mydigitallife.info/thr...se-information
Nilipogonga tu kwa hiyo website nikapata software ya kuondoa tatizo hilo nika install fasta na tatizo likaisha.
Kwa hiyo wadau- tembeleeni hiyo FORUM inaitwa "LIVING DIGITALLY - My Digital Life" mtapata ma ujuzi kibao kuhusu matatizo ya window 7.
Kumbuka computer yako ikipata tatizo ukapeleka kwa wajasi (wajasiliamali) hata kama ni tatizo la sekunde kutibiwa watakukamua na utajuta.
Nimeipenda hiyo forum- ipo kama Jamii forum vile, ila yenyewe ina deal na mambo ya computer tu.
Namalizia kwa kusema, "whether you like or no Computer is everything"
Ukifanikinikiwa kusolve tatizo lako kumbuka pia kugonga thanx.
Nawasilisha.