Do you know the legal basis of Fatuma Karume's claim?

Do you know the legal basis of Fatuma Karume's claim?

BISECKO

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
640
Reaction score
712
Collins v Wilcock [1984] 3 All ER 374

A police woman took hold of a woman's arm to stop her walking off when she was questioning her. The woman scratched the police woman and was charged with assaulting a police officer in the course of her duty.

Held:

The police woman's actions amounted to a battery. The defendant's action was therefore in self defence and her conviction was quashed.

Goff LJ stated that implied consent existed where there was jostling in crowded places, handshakes, back slapping, tapping to gain attention provided no more force was used than is reasonably necessary in the circumstances. There was no consent given for the grabbing of the arm.
 
Rudi darasani na usome kwa utulivu na umakini sana. Pia tambua kuna tofauti kati ya mafuta ya taa na maji, japo vyote ni vimiminika.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Rudi darasani na usome kwa utulivu na umakini sana. Pia tambua kuna tofauti kati ya mafuta ya taa na maji, japo vyote ni vimiminika.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
Hoja yako ni nini juu ya mada husika?
 
Hoja yako ni nini juu ya mada husika?
Kama umezoea kichangia majukwaa ya "Chitchat" pengine ikawa ngumu pia kuelewa ulichokileta, kinauhusianje na nilicho changia.
Jamii Forums na uhusiano wa "Great Thinker" ndipo unapojitokeza hapo.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Kwenye haya masuala bwana huwezi fananisha kitu kimoja na kingine. Tofautisha kabisa kosa au kitendo ambacho kimeainishwa na sheria na kitendo ambacho ni kosa la madhara tu na halijaainishwa kisheria.
Kesi hiyo ya Collins v Wilcock kitendo alichofanya askari kiliainishwa bayana, kilikuwa kwa mujibu wa Street Offences Act 1959. Hili la fatma karume ni tofauti sana. Askari anayo ma mlaka, na yapo kisheria, kumzuia raia yeyote yule kufanya kitendo ambacho yeye (askari) anaona ni kinyume cha utaratibu au kunahatarisha usalama wake au usalama wa umma, au kinaleta uchochezi wa kisiasa au kiimani.
Ndio maana utaona Karume kaogopa kuunganisha pande muhimu katika kesi yake, kahofia kupata upinzani mkubwa na kuishia kupoteza kredit zake katika tasnia ya uwakili. Hata hivyo tutasimama imara kumtetea raia huyu mwema aliyekuwa anatimiza majukumu yake ya kazi
 
@dragoo hata hvyo huyo askari ana wajibu wa kuithibitishia mahakama kwamba kulikuwa na ulazima wa kufanya vile.. Na siyo eti kwa sababu ana mamlaka bas afanye tu hata isipohtajika.. Hapana.
 
@dragoo hata hvyo huyo askari ana wajibu wa kuithibitishia mahakama kwamba kulikuwa na ulazima wa kufanya vile.. Na siyo eti kwa sababu ana mamlaka bas afanye tu hata isipohtajika.. Hapana.
Ndugu yangu likandambwasada atakayekuwa na wajibu wa kuidhibitishia mahakama ni mdai. Mdai ndio atatakiwa kudhibitisha kuwa askari alifanya hiko kitendo nje ya mipaka ya kazi yake na kwamba kitendo hicho kimemletea madhara, na madhara yenyewe lazima ayadhibitishe.
 
Dragoon mdai tayari anayo hoja na ushaidi uko wazi.. Sasa huyo askari wa kibashite asubiri tu kujikanyaga kanyaga, mana kwa sifa za polis wetu hakuna asyewajua kuwa uelewa wao finyu.
 
Dragoon mdai tayari anayo hoja na ushaidi uko wazi.. Sasa huyo askari wa kibashite asubiri tu kujikanyaga kanyaga, mana kwa sifa za polis wetu hakuna asyewajua kuwa uelewa wao finyu.
Pole sana kwa kuishi dunia ya kukariri, dunia ya mazoea kuwa askari ni darasa la saba, naamini ukipewa hata CV ya huyo mdaiwa wa FK utafuta post yako
 
Back
Top Bottom