Do you know what is consummation?

Hiyo ni sheria ya Tanzania au wapi? Vipi kwa ndoa za jinsia moja (say wanawake tupu) hii dhana ya 'consumation' (insertion?) inakuwaje? Na vipi kama watu wanatumia mpira (condom) hiyo consumation inakuwaje?

Basing on common law courts decisions, using condom does not affect consummation.
 
Wewe utakuwa mwanafunzi nini? Leo ndio kwenye course ya 'family law' ndio mmefundishwa? Canon Law inaongelea vizuri tu kuhusu suala hili na kuelewa sio lazima uwe lawyer!!!!!!

Nilichokataa ni kukariri. Mwanafunzi anahitaji kukariri ili aweze kukumbuka kwenye mtihani hasa elimu yetu ya bongo. Katika practice huwezi kukariri maana haina mantiki yeyote! Sasa kama wewe umesoma canon law, thats well and good. But mind you a person does not become a lawyer just because he has had an opportunity to study and understand canon law. I
 
Proving an allegation is a matter of law. He who alleges must prove! You will have to prove to the court on the balances of probabilities that the marriage has never been consummated!
 
Proving an allegation is a matter of law. He who alleges must prove! You will have to prove to the court on the balances of probabilities that the marriage has never been consummated!

That is almost an insurmountable task.
 
reasonable time, what do u mean? Within 24 hrs or?
Reasonableness is the question of facts. Facts of each case will have to be considered to determine that.
 
Huyo ni mwanafunzi wa sheria sio mwanasheria maana sie wanasheria hatuna kingereza bomu namna hiyo.

Acha ushamba wewe...hivi ndio ulifundishwa hivyo kuwa kuna mwanasheria bora kuliko mwingine na udharau wenzako katika taaluma. Mtoa mada hata humfahamu lakini unaanzisha mashindano ktk keyboard. kha! Hebu basi wewe mjibu kwa kiingereza tukupime.
 
Same thing! Woman avoid that marriage for non consummation. And the effect will that she has never been married at all!

Better try it before get married..... It helps avoiding marriage b4 it happens...
 
Umenikumbusha qualifying law. Marriage law, marriage is all about consummation...failure to do that marriage become void.
 

Hii inatumika kwa ndoa za jinsia moja pia?.... Na ndoa zilizokomaa je? Yaani za kubariki.
 
Well, mimi sio mwanasheria na wala sijawahi kusomea sheria

nimekuwa enlightened kuwa laws of marriage pia inasema kuwa kama hakuna consummation, hiyo ndoa inaweza kuwa null and void ab initio

nilikuwa nafahamu kidini tu..kwamba mkishatoka kanisani (sijui kwa wenzetu waislam) ni shurti mkamegane ili kukamilisha kitendo chenyewe...na kisipofanyika, ina maana mmojawenu 'akiwa kichaa' akaenda mahakamani atadai ndoa haikuwepo tangu mwanzo kwa sababu haikuwa consummated.

haya jamani nani anataka kufanya practice?
 
Mimi bado sielewi mantinki ya ndoa kurasimishwa na tendo la ngono ni nini!!
 
Kaizer, sio consummation ni consumption.

Ngoja nimwite Bishanga nikamkonshumu.
 
Last edited by a moderator:

Ndivyo ilivyo katika sheria pia
 
Mmh sasa mmoja akishakufa si ndio linakuwa limetimia lile neno la "mpaka kifo kiwatenganishe" bila kujalisha kama mlishaduu au vipi
 

Ndivyo ilivyo katika sheria pia
 
Mimi bado sielewi mantinki ya ndoa kurasimishwa na tendo la ngono ni nini!!

Labda pia ni swala kujiuliza kwanini ndoa kwa asili ilikuwa ni mwanaume+mwanamke na sio vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…