Do You Like A Guy Who Cries?

mie sijui niemenda mbali......nimefikiria wanaongelea kulia wakiwa wanafanya mapenzi....
Duh!!..Yo Yo bana..samtaimes unanifurahisha kinoma aisee.Sasa hapa mawazo
yako yalikua yanaelekea wapi?
 
...kuna rafiki zangu wawili watatu toka kabila moja kule kusini mwa nchi (Tanzania) kwakulia haooo!

Kuna mmoja akishalewa hukaa chini na kuangusha kilio... hata kama mhudumu kamnyima bia ya nyongeza.

Very funny indeed.Na keshoyake jamaa anakumbuka alikua analia kwa sababu
kanyimwa huduma?
 
Kulia mnakozungumzia nyie ni kupi, wakati wa mahusiano au kulia in general i.e wakati wa msiba, furaha etc etc?

...dah, kulia kwa furaha? ...atakuwa mwehu huyo!

Very funny indeed.Na keshoyake jamaa anakumbuka alikua analia kwa sababu
kanyimwa huduma?

...ajabu yake jamaa ukimwambia jana mzee ulikuwa unalia kichizi, anachekelea tu,...nadhani wana enjoy sana ile 'centre of attention.'
 
mie sijui niemenda mbali......nimefikiria wanaongelea kulia wakiwa wanafanya mapenzi....

...hao ndio wanaotia aibu nyumbani kwa wakwe, akiulizwa alikuwa analia nini atasemaje?
 
mie sijui niemenda mbali......nimefikiria wanaongelea kulia wakiwa wanafanya mapenzi....

Nilihisi niko peke yangu....Lol!, am glad Yo Yo was in the same line of thinking as i am...Lol!
 
ahaaaa.... Kulia mwanaume!! Nooo. Labda sio mwanaume wa kichaga au kimasai! Kaa ni ngumu nanihii.
 
Ok! Now i'm aware why our PM PINDA has opted for this. He knows the secrecy of crying.
 
Tatizo hapa mademu wengi au baadhi wanapenda wanamme walio na mannerism za kike kike kama vile mikono milaini, sauti nyembamba n.k.

Halafu wanapenda wanamme wenye vitambi...sijui kwa nini. Mtu mwenye six pack eti wanamwona amekomaa. Hehehehehehehee.....
 
...hao ndio wanaotia aibu nyumbani kwa wakwe, akiulizwa alikuwa analia nini atasemaje?

Mbu
Utasikia, wazazi wangu nahuzunishwa na kitendo cha kunyimwa haki yangu ya ndoa na binti yenu..Aibu ila kuna wanaoshitaki kwenye vikao maalum vya familia.

Kuhusu kulia kwa mwanaume
Sitopenda kuona machozi ya mwanaume katika kitendo hiki(mapenzi)..Nimeona wanaume wakilia kwa misiba tu so far tena wachache sana,wengi wao wanajikaza kiume. Nadhani wanalia wakiwa wenyewe!..
 
Inashangaza kuona wanawake wanaopenda kuwa na wanaume walio sensitive kama wanawake. Kulia lia ovyo...kila kitu unalia...ukiangalia movie ya kusikitisha...unalia....ukigombana na demu wako....unalia.....puh-leeeze.....come on now....I guess to each his/her own....
 
...I wonder mtu anajiskiaje akiwa anaangua kilio mbele ya mywife wake. ngoja siku moja nijaribu, sijui itakuwa uchuro? ...Stay tuned nitakuja kuwapa feedback!

Tatizo akiangua kicheko bana 🙁

NB; (jaribu kulia halafu jiangalie kwenye kioo!)
 
Mbu
Utasikia, wazazi wangu nahuzunishwa na kitendo cha kunyimwa haki yangu ya ndoa na binti yenu..Aibu ila kuna wanaoshitaki kwenye vikao maalum vya familia.

...kanyimwa wakati wazazi walisikia mitikisoko na misukosuko ya 'telemka tukaze' chumba cha wageni?... no way bana, ajitetee vingine!
 
Castle

Huyu jamaa ni MNYOOFU kweli.....is he nyooka...na wasiwasi...
 
Nimeipenda "wanatia aibu nyumbani kwa wakwe!"
 
Vipi, bado tu hujafanya hiyo experiment?
 
Mwanaume anayelia wakati wa shughuli huo ni uchuro, kulia kila wakati (umeona sinema inayoudhunisha, gf/wife kakupa story ya kusikitisha au umenuniwa) nayo sio healthy.

Hii article ni ndefu kidogo....

Mwanaume anayelia wakati wa shughuli huo ni uchuro, kulia kila wakati (umeona sinema inayoudhunisha, gf/wife kakupa story ya kusikitisha au umenuniwa) nayo sio healthy.

Hii article ni ndefu kidogo....

...si ndio hapo. Imagine Boss anakufokea kwa kuchelewesha kazi halafu kabla hajamaliza unaangusha booonge la kilio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…