Huwa tunakwama sana hapo kwenye bei elekezi, mwisho wa siku tunaonekana wababaishaji.Kama kawaida ya wafanyabiashara wa kwetu hakuna bei elekezi.
Sema bei kwa site ya kawaida kama hii ni....
Site ya hivi bei ya kuanzia ni.....
Ndio uweke hizo bei tofauti sasa Mkuu, itasaidia hata mteja kujikadiria anaweza kufikia wapi.Hello Habari kaka, bei za site huwa zinatofautiana, na pia ni negotiable kutokana na requirent za mteja.
But kuweza kutowa bei huwa tunacharge kwa idadi ya pages. you can check kwenye this link https://www.computersprings.com/website-design-development/
or
You can call us at +255655729991.
Sawa kaka nimekuelewa ngoja nitazionyesha kwa site, na aina ya biashara mtuanayofanya.Ndio uweke hizo bei tofauti sasa Mkuu, itasaidia hata mteja kujikadiria anaweza kufikia wapi.
Wapo watakaokosoa hizo bei ila hiyo ni kawaida kabisa isikuzuie kuweka bei, sababu kupitia hizo hizo bei utapata wateja tofauti tofauti.