Hivi aliyecheza film ya "Man from Africa" alikuwa nani?
Mwanzo nilidhani anaitwa Michael Walker na kua ndiye aliyeimba zile nyimbo za "long time", "Coloumbia", "Feeling hot hot hot - now in Madascar 2", "Tiny Winy" "Crazy mama" bila kuisahau big hit "Long time sijakula chips" .....nk . Kinachonishangaza ni kuwa aliyeimba hizi nyimbo nimekuja kufahamu anaitwa Alphonsus Cassell (Arrow) . Hivi huyu jamaa ndiye alikuwa akijiita Michael Walker au ni mtu mwingine.
Turudi kwa Jim Kelly.
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=Qileulvwi-A[/ame]