Rais mseven wa uganda ....Akasema magay africa wamekuwepo na wapo lakini maisha yao kwa tamaduni (zetu )africa ni private. Kifupi nakubaliana na Mseven
.
Hii nimeiacha kwa sababu ina ukweli ndani yake na kwa kiasi fulani tu ninakubaliana na MU7
ifike siku tuseme kuwa ni zamu ya gay kuwa rais, au kuwe na special rights ambazo kwa sasa hawazipati?
.
Tunaweza hata tusiseme kuwa "sasa ni zamu ya gay kuwa raisi", na bado tukawa na rais gay/lesbian. Iko siku tumesema "sasa ni zamu ya gay/lesbians kuwa wanajeshi, madaktari, walimu, wabunge...? Mbona wapo.
[/QUOTE]Kwa sasa masenge na masagaji yana haki kama matanzania mengine, hakuna haki ambayo straight Mtanzania anapata ambayo gay Mtanzania ananyimwa kisheria, labda kuoana[/QUOTE].
Hii inakubaliana na hicho nilichozungumza hapo juu.
[/QUOTE]Kama kweli itathibitika kuwa mtu ni
in-born gay, na hakuna posibility ya kuwa straight hata kama anapenda, kama kuna kitu anapenda asizuiwe kisheria. Lakini kama mtu ni straight kwa kuzaliwa, halafu anafanya u gay kwa kujifunza, anakuwa anaenda kinyume na matarajio ya jamii.[/QUOTE].
Ni kusema mkuu unakubali kuwa wapo in-born gay na unawatetea "kama kuna kitu anapenda asizuiwe kisheria". Huyu akija kudai hadharani kuwa ni in-born gay na anataka kugombea urais, kuna sheria katika katiba yetu ya sasa inayomkataza?
[JFMP3]Ukiangalia hapa Tanzania utaona kuwa idadi kubwa ya magay wanatoka katika jamii fulani na maeneo fulani na makundi fulani, inabidi ujiulize kwa nini wengi wanatoka pwani zaidi, mbona bara ni mmoja mmoja sana? is it because wabara ni washamba au?[/QUOTE].
Alas! Kumbe bara wapo mmoja mmoja. Ilikuwaje? Au hawa mmoja mmoja wa bara ni in-born gays na wale wa pwani ni wa kujifunza?
Kama alivyosema The Boss na mtoa mada, tusichanganye baina ya gays rights na human rights, kama alivyosema MU7, ugay/ulesbo umekuwepo Afrika na ulimwenguni kote tangu enzi za mitume. Gays/lesbs, wawe wa kuzaliwa au kujifunza tunaishi nao mara nyingi bila ya kuwanyanyasa wala kuwakosesha "haki zao za kibinadamu" (ingawaje sikubaliani na hili la kuwa hatuwakoseshi kwani "tunawaruhusu wafanye kila" kitu ISIPOKUWA vile ambavyo tamaduni na dini vinavyohisi si haki zao.
Binafsi siwapingi, siwaogopi, siwabagui, siwadharau, kwani ninaamini katika haki ya binadamu kujichagulia namna ya kuishi, almuradi tu uchaguzi wake huo hauwaletei madhara wengine Na linapokuja suala la "kudai haki zao", sitoandamana nao kuwasaidia kudai lakini pia sitaungana na wale watakaowarushia mawe.