Do you want to activate windows now??

Rural Swagga

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
1,643
Reaction score
1,172
Guys i realy need ur help,I'm trying to activate Windows XP Home Service Pack 3. I've just performed a clean setup, and Windows now won't let me even log in until I activate. [This copy of Windows must be activated with microsoft before you can login]
 
Sasa unataka msaada wa ku-activate au ? mbona hujaweka wazi shida yako? kama ni ku-activate si ufanye hivyo? Ok I get it.... fuata maelezo kama yanavyokueleza kwenye screen yako, If you have internet activate online if not there's a telephone number to call right on your screen. In short FOLLOW the INSTRUCTIONS.
 
Ndiyo mkubwa nahitaji msaada wa ku-activate coz inahitaji activation Key!!
 
Ni pm kama unataka XP profesional keys nitakupatia, sidhani kama nna XP home, lakini ngoja niangalie kwenye warehouse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…