Doctor Isaac Maro ni nani?

Ni mimi hapa maro mwenyewe kama una lingine uliza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kunichuwaa
 
Habari zenu wakuu!

Hivi huyu mtangazaji wa kipindi cha njia panda kinachorushwa kila jumapili Clouds Fm, Doctor Isaac Maro ni Doctor kweli?

Na kama ni daktari kweli, anawezaje kumudu kazi zote mbili?
Ni usalama wa taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…