Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema ukiamka asubuhi,vipi tatizo linatokea usiku tu au hata mchana?
Ingekuwa vizuri ukasema hilo tatizo umeanza kuliona tangu lini.Na hali hiyo ikitokea inadumu kwa muda gani;na je, unafanya/unatumia nini ili kupata relief?
ukila kachumbari mchana je? still mafua yanakuja asubuhi?
usikute ni tatizo la kulala kwako? una pillow washable? jaribu kufunika pillow na khanga (nyeupe usije ukaota mashetani lol) ama kama unatumia feni ama ac ifanyiwe usafi.