doctor nisaidie

pinkpink

Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
75
Reaction score
31
huwa napenda sana kula kachumbari, na kama unavyojua kachumbari haikosi vitunguu maji. Tatizo langu ni kwamba nikila kachumbari usiku au sambusa zenye vitunguu usiku asubuhi nikiamka nakuwa kama naumwa mafua au naumwa kabisa mafua..je hili ni tatizo gani??
 
Umesema ukiamka asubuhi,vipi tatizo linatokea usiku tu au hata mchana?
Ingekuwa vizuri ukasema hilo tatizo umeanza kuliona tangu lini.Na hali hiyo ikitokea inadumu kwa muda gani;na je, unafanya/unatumia nini ili kupata relief?
 
Mrimi, tatizo linaanza nikiamka asubuhi, nimekundua kama ndani ya mwezi hivi, leo l ndio nimepata uwakika zaidi, linadumu siku nzima situmii dawa hali hiyo inapotea yenyewe.
 
Last edited by a moderator:
pinkpink mwanzo nilidhani itakuwa allergy,lakini kwa maelezo yako hapo juu,nahisi that's more than what I thought..
Allergy haiwezi kusubiri ulale mpaka asubuhi ndio ianze...na kama kuna viasababishi vingine hasa chumbani kwako unakolala visingesubiri hadi siku unapokula vitunguu maji! May be hujapata uhakika exactly timing ya tatizo hili.Kwa ushauri wangu,jaribu hata leo ule hiyo kitu asubuhi halafu tuone kama tatizo litasubiri hadi kesho asubuhi..hapo ndipo tutakuwa na uhakika kama ni hiyo kitu au la..
 
Last edited by a moderator:
ukila kachumbari mchana je? still mafua yanakuja asubuhi?
usikute ni tatizo la kulala kwako? una pillow washable? jaribu kufunika pillow na khanga (nyeupe usije ukaota mashetani lol) ama kama unatumia feni ama ac ifanyiwe usafi.
 
Dr King'asti!!!!:rockon:
 
tatizo ni usiku tu nikila napata effect asubuhi, nitajitahidi kwenye usafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…