jajcom
Senior Member
- Jan 4, 2013
- 125
- 192
wadau wana JF kuna mdogo wangu amemaliza kidato cha 6 mwaka huu mchapuo wa PCB nakupata div 2 point 12 naomba ushauri,
kati ya bachelors in MD na Environmental Health Science ni ipi ina maslai zaidi?
ukizingatia hiki ni kipindi ambacho mtu anatakiwa kufanya maamuzi ya busara katika uchaguzi wa kozi ya kusomea ili baadae asije akajutia maamuzi yake.
NB; KAMA KUNA MTU ANAUSHAURI TOFAUTI ANAKARIBISHWA.
Natanguliza shukrani.