Doctor of Medicine vs Environmental Health Science

jajcom

Senior Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
125
Reaction score
192
wadau wana JF kuna mdogo wangu amemaliza kidato cha 6 mwaka huu mchapuo wa PCB nakupata div 2 point 12 naomba ushauri,
kati ya bachelors in MD na Environmental Health Science ni ipi ina maslai zaidi?
ukizingatia hiki ni kipindi ambacho mtu anatakiwa kufanya maamuzi ya busara katika uchaguzi wa kozi ya kusomea ili baadae asije akajutia maamuzi yake.

NB; KAMA KUNA MTU ANAUSHAURI TOFAUTI ANAKARIBISHWA.

Natanguliza shukrani.
 
hakuna professional inalipa zaidi ya nyingine inategemea wewe utaangukia wapi baada ya kuhitimu. uzuri wa medicine kwa sasa ni kwamba serikali inatoa ajira nyingi kwa fani hiyo hivyo ukimaliza uwezekano wa kupata ajira ni mkubwa, kwa kuanzia mshahara wa daktari uko juu ila ukiwa environmental science katika mda mrefu iwapo mfano utafanikiwa kuingia katika miradi ya maji inalipa kuliko udaktari.

maisha hayana kanuni mdogo wangu kuna watu waliishia fomu four lakini sasa hivi wanamiliki mamilioni wakati kuna watu wana degree, masters na phd wanahangaika.

kama hoja yako ni mas
 


ahsante kwa ushauri mkuu
 
Medicine ndio mpango mzima kwa sasa.
Hutajuta kabisa, kwani utapata mkwanja(Kiasi!!!) na utaosha jina sana ila jiandae kuumiza kichwa kusoma na kutumika kama mfungwa wa segerea ukija kufanyakazi.

Kama una wito wa kutibu watu uta-enjoy zaidi kinyume na hapo utageuka kuwa mtumwa tu!!
 


Nimekupata mkuu
 
Hivi hawa health sayansi si ndio wanakuwaga mabwana afya? Km ndio basi hii ina fedha nyingi kuliko medicine
 
Unaweza soma medicine ila bongo Hakuna kinacholipa labda ujiajili mwenyewe.
 
Medicine siku hizi mnaenda kiurahisi hivyo? kweli maisha rahisi sana siku hizi... DIV 2 Point 12 unaulizia medicine?

enzi zetu hiyo haikua pass mark ya kusoma medicine.. naona siku hizi mna vyuo hadi vya kata kama IMTU navyo vinatoa medicine
 
suala la ktoka kimaisha n tofaut na fan ulyonayo.ingekua med ndo kla k2 bac madaktar huk street wangekua wanaxumbua xana,nyie mnaosoma md kwa sababu ya mshahara ndo mnatusumbua ward round,hamjui chochote mnaxubir ku graduate mpate mishahara.
 

hatufuati maslai.ili usome nn angalia MD hatusomei kwa maslai hiyo sio ethics ya dr so kama wafuata maslai kasomee finance huku kazi tu ingia mchezoni uone
 
Mnaona vijana wa kileo hamna kitu kabisa, hawana uzalendo kwa nchi yao wanawaza kula na kujaza matumbo yao basi akili za kutumikia nchi hamna hajui kuna watu wamejitolea amefika hapo kwa kujenga vyuo na masecondary aliyosoma...wewe hufai kwa hii nji kabsa...
 
Usiende MD kama huna wito.
kazi kwanza, maslahi later.
Plus kwa div yako,.labda KCMC, Muhas waweza kukosa. besides, andaa bongo yako vizuri kutumika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…