dogo hizo MD au pharmacy usijaribu kugusa MUHAS. nenda hivyo vyuo vingine ukale bata then mtaani mnakuwa sawa. i hate muhas mpaka basi.
dogo hizo MD au pharmacy usijaribu kugusa MUHAS. nenda hivyo vyuo vingine ukale bata then mtaani mnakuwa sawa. i hate muhas mpaka basi.
Unafanya vizuri sana kumtunza Tom ipasavyo...
Mkuu vip ulidisco pale nn!
muhas bado ipo kizamani sana. bado wana yale mawazo ya c ya muhas ni sawa na A ya vyuo vingine kumbe life la leo ni tofauti sana. wao wenyewe wakitangaza ajira zao wanaexclude almost wanafunzi wao wote kwenye vigezokwa nn unaihate mkubwa mbona unatutisha sana....!!
muhas bado ipo kizamani sana. bado wana yale mawazo ya c ya muhas ni sawa na A ya vyuo vingine kumbe life la leo ni tofauti sana. wao wenyewe wakitangaza ajira zao wanaexclude almost wanafunzi wao wote kwenye vigezo