Sio daktari ila naweza kushauri.
Ukungu umeanza leo leo, au ulianza siku mbili tatu?
Kama ni leo leo, basi inawezekana ulilala vibaya au inawezekana pia una infection.
Lakini pia kama unaona ukungu na vitu kama vyeusi vinaelea, basi nashauri saa kumi na moja asubuhi uwe umefika CCBRT ili uhudumiwe kesho hiyo hiyo, unless kama utalipia fast track.
Lakini pia, ushauri wa hapa JF huwa unafaa kama unaomba second opinion na sio ili utibiwe. Hospitali ndiyo sehemu sahihi.