Going Concern JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 1,071 Reaction score 1,212 Jun 9, 2016 #1 Kuna ndugu yangu anaumwa macho, yanatoa machozi tu...katumia Dawa zote lakini Bado tatizo liko pale pale... Naulizia daktari yupi wa macho ni mzuri kwa Dar na anapatikana hospitali gani na nitashukuru zaidi nikipata mida yake ya kazi. Asanteni.
Kuna ndugu yangu anaumwa macho, yanatoa machozi tu...katumia Dawa zote lakini Bado tatizo liko pale pale... Naulizia daktari yupi wa macho ni mzuri kwa Dar na anapatikana hospitali gani na nitashukuru zaidi nikipata mida yake ya kazi. Asanteni.