Dar NO. Kama una pesa basi nakushauri uende Pretoria, South Africa utapata huduma nzuri ya macho kuliko India au Ulaya. kbla ya kuenda wapigie simu watakuleza Bei zao na sio ghali sana na wala hawana bei ya kutisha gharama zitakuja kwenye Malazi .
bofya hapo kwenye site yao: Pretoria Eye Institute | Pretoria Ooginstituut kwani hata Mafisadi wenu wanakwenda hapo na usishangae ukienda na kukutana nao hapo. na namba zao za simu hizo hapo +27 12 343 5873. Best of lucky Broo
The Pretoria eye Institute's vision is to be a market leader in rendering a high quality specialist and hospital services