cement JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 581 Reaction score 218 Jul 23, 2012 #1 Wadau naomba mwenye kujua hosp ninayoweza kupata doctor mzuri wa tumbo coz tumbo langu lipo hovyo tu hata sielewi tatizo ni nn!plz mwenye kujua!
Wadau naomba mwenye kujua hosp ninayoweza kupata doctor mzuri wa tumbo coz tumbo langu lipo hovyo tu hata sielewi tatizo ni nn!plz mwenye kujua!
M Malipo kwamungu JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 574 Reaction score 86 Sep 26, 2012 #2 Wewe ni male au female: Ni PM
JohnShaaban JF-Expert Member Joined Aug 23, 2007 Posts 464 Reaction score 116 Sep 27, 2012 #3 Muhimbili kuna specialist mzuri wa magonjwa ya tumbo na mfumo wa chakula. Anaitwa Dr. Rugasha, anakuwa na clinic jengo la IPPM siku za J'tatu, J'nne na J'tano kwa wiki. Nenda atakusaidia pa kuanzia. Pole kwa kuugua.
Muhimbili kuna specialist mzuri wa magonjwa ya tumbo na mfumo wa chakula. Anaitwa Dr. Rugasha, anakuwa na clinic jengo la IPPM siku za J'tatu, J'nne na J'tano kwa wiki. Nenda atakusaidia pa kuanzia. Pole kwa kuugua.