Jana usiku saa nne nilimeza mathakelfin za kenya tembe mbili na panaldo tembe mbili ili kupambana na maleria,nililala vizuri lkn leo asubihi nikajikuta nakunywa mazawa glasi mbili za moto bila ya kujua,yaani nimejisahau.,sasa je nauliza dozi ile imearibika na nahitajika kuanza tena?