Nambukwa
JF-Expert Member
- Aug 5, 2009
- 243
- 146
Nina kauvimbe kwenye jicho, sio jipu , hauwashi wala haumi, ila unanikera sana kuungalia.
Uvimbe huu huwa unajitokeza na kupotea mara nyingi ila kwa sasa uko kwa muda mrefu. Ni zaidi ya wiki tatu na umeongezeka ukubwa.
Je uvimbe huu unasababishwa na nini??
Nilikuwa na macho masafi, meupe lakinin kwasasa yanakuwa mekundu . Nifanyaje kusafisha macho?