Pole bibie.@nambukwa Ningelikushauri uende Hospitali iliyo karibu na wewe ukaonana na Daktari wa macho akupe dawa ujipake ili hicho kipele kiondoke hapo kilipo. Kwani hapo kilipo ni sehemu ya hatari ya jicho usije poteza jicho fanya haraka kabla hayajakuwa matatizo makubwa.
kama sijakosea hiyo condition inaitwa eye lid scoliosis ,hako kauvimbe kwa ndani ni kagumu.Nilishawahi kupata similar condition nilipokuwa Russia na nikafanyiwa surgery haijajirudia tena.Kamuone Daktari wa macho,mara nyingi ni benign tumour na inatibika