TATA MKURIA
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 299
- 407
Kuna uwezekano wowote mwanamke mjamzito kupoteza hamu ya tendo na akawa hana hata hisia? Hii imenitokea kwa wife ana preg ya karibu miezi mitatu hivi na tangu ameipata nimepigwa kibuti yaan nikijaribu hata kumgusia tu inakuwa shida, tafadhalini anayejua maana ya hii kitu kitaalam anishauri ili nijue nini cha kufanya