TATA MKURIA
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 299
- 407
Asante mkuu Sky Eclat, nilianza kupata mashaka sana.Katika hali hiyo hormones zina control mood swings usimlaumu na ukifika miezi Mitanni kuendelea anaweza atake hata Mara tatu kwa siku.
na baada ya kujifungua ni siku ngapi yatakiwa ndio wafanye tendo?Katika hali hiyo hormones zina control mood swings usimlaumu na ukifika miezi mitano i kuendelea anaweza atake hata Mara tatu kwa siku.
Inategemea lakini baada ya wiki sita damu unakuwa imekauka na ni muhimu kutumia protectionna baada ya kujifungua ni siku ngapi yatakiwa ndio wafanye tendo?
anhaa sawa sawaInategemea lakini baada ya wiki sita damu unakuwa imekauka na ni muhimu kutumia protection
Wewe mtundu weweKatika hali hiyo hormones zina control mood swings usimlaumu na ukifika miezi mitano i kuendelea anaweza atake hata Mara tatu kwa siku.
Nikweli mura..inatokeaga..pole kk.VumiliaKuna uwezekano wowote mwanamke mjamzito kupoteza hamu ya tendo na akawa hana hata hisia? Hii imenitokea kwa wife ana preg ya karibu miezi mitatu hivi na tangu ameipata nimepigwa kibuti yaan nikijaribu hata kumgusia tu inakuwa shida, tafadhalini anayejua maana ya hii kitu kitaalam anishauri ili nijue nini cha kufanya
Baada ya kupona nakujisikia yuko Tatar mwanamke kwa kufanya tendona baada ya kujifungua ni siku ngapi yatakiwa ndio wafanye tendo?
anhaaBaada ya kupona nakujisikia yuko Tatar mwanamke kwa kufanya tendo
Enheee ndyo ma lectures wetu haoo wasemaanhaa
poa mkuuEnheee ndyo ma lectures wetu haoo wasema
Pole sana.....hii ilinikuta ata mimi ilifika stage mwenzangu akawa ananiambi wewe lala tu chali niingiz usifanye chochote. Hii huwakutaga wanawake wengi kama baby ni boyKuna uwezekano wowote mwanamke mjamzito kupoteza hamu ya tendo na akawa hana hata hisia? Hii imenitokea kwa wife ana preg ya karibu miezi mitatu hivi na tangu ameipata nimepigwa kibuti yaan nikijaribu hata kumgusia tu inakuwa shida, tafadhalini anayejua maana ya hii kitu kitaalam anishauri ili nijue nini cha kufanya
40na baada ya kujifungua ni siku ngapi yatakiwa ndio wafanye tendo?
takribani wiki 6 ee