Document Certification

Document Certification

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,089
Reaction score
424
Habari Wajumbe,nlikua naulizia kama kuna uwezekano wa kucertify documents zangu kwa mawakili au wanasheria waliopo JF kwa bei ya kusaidiana mana ndugu yenu naangaika na mambo ya vyuo na wanasema yabd nipeleke certified copies.Kama utakua tayar na bei reasonable then naomba uni PM na napatikana maeneo ya Tegeta na ntashukuru kwa msaada
 
Bei reasonable kwake ni bei ya juu, lakini kwako ni ile ya chini, kifupi ningeiita "Bei ya vuta nikuvute"
 
Back
Top Bottom