Habari Wajumbe,nlikua naulizia kama kuna uwezekano wa kucertify documents zangu kwa mawakili au wanasheria waliopo JF kwa bei ya kusaidiana mana ndugu yenu naangaika na mambo ya vyuo na wanasema yabd nipeleke certified copies.Kama utakua tayar na bei reasonable then naomba uni PM na napatikana maeneo ya Tegeta na ntashukuru kwa msaada