Document gani ulikutana nayo kwenye vifungashio vya karatasi?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Ndani ya mwezi huu wa sita, nimekutana na document mbili.
1. Transcript ya mwanafunzi wa UDSM, ni copy na inaonekana labda alituma mahali kuomba kazi, amemaliza mwaka 2022, chaajabu imegengenezewa vifungashio vya karatasi.

2. Karatasi ya mtihani ya mwanafunzi kutoka chuo fulani,( nakihifadhi) , ina code BAED III.

Ulikuna na document gani?
 
Ilikuwa umefungashia nini mkuu?
 
Back
Top Bottom