Document hii inaonesha jinsi Ponda na Farid wanavyotumiwa na vikundi vya nje kufanya Ugaidi

Document hii inaonesha jinsi Ponda na Farid wanavyotumiwa na vikundi vya nje kufanya Ugaidi

Status
Not open for further replies.

Kakende

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2012
Posts
2,741
Reaction score
1,232
Kuna taarifa kuwa kuna watanzania wanatumiwa na vikundi vya itkadi kali ili kuondoa amani Tanzania.

Agenda ya vikundi hivyo vya Uarabuni ambavyo kimsingi vipo kwenye Orodha za Ugaidi duniani ni kuhakikisha baadhi ya nchi za Afrika zinatawaliwa na Sharia. Vikundi hivi vinasaidia Boko haram Nigeria, Vilisaidia Kupindua Serikali ya Mali ili itawaliwe na Sharia.

Ukiona maazimio ya Pale Diamond Jubilee na Mahubiri ya Farid na Ponda hayana tofauti kabisa Mikakati ya boko haram. Mfano, lengo la boko haram ni kuhakikisha watu wa Nigeria wanatawaliwa na Sharia ya kiislam, pia Pale Diamond Jubilee Maazimio ni yaleyale kama ya Boko haram kuwa Tanzania itawaliwe na sharia za kiislam, na iwe nchi ya kiislam. Mipango ikiwa ni kuua na kuhakikisha ubarozi wa Vatican unafungwa.

Vikundi hivi vya vinavyotokea Saud Arabia, Misri na Algeria vinatumia umaskini wa nchi za Afrika ili kupenyeza Agenda zao, kwa hapa Afrika mashariki raia kutoka nchi tajwa uhamia kwenye mwambao wa bahari maana wanajua watapewa makazi na kupokelewa na jamii za mahali hapo. Baada ya hapo ufungua vikampuni vya kuvua samaki ikiwa ni danganya toto kumbe lengo lao ni kutafuta wenyeji na kuwapeleka kwenye mafunzo ya JIHAD, pia kuwaingiza kwenye harakati.

Kama kweli akina Ponda wanatetea haki za Waislam ilitakiwa kuitisha maandamano, kukutatana na viongozi wa Serikali ili kufanya majadiliano. Lakini kwa sababu wana Agenda yao binafsi kutoka nje ya nchi ndiyo maana utaona maazimio ilikuwa ni kuua au kuuawa, kufunga ubarozi wa Vatican na kufanya Tanzania iwe nchi ya Kiislam

Soma attachment hii kuanzia ukurasa wa 9 uone jinsi Ponda na Farid wanavyotumika, ikiwemo baadhi ya Uharifu walioufanya
 

Attachments

sasa ikishakuwa ya kiislamu ndo wanakuwa wamemshinda shetani...si muwaache tu waiite ya kiislamu ukristo uko kwenye moyo wa mtu hakuna anaweza kuuondoa ... tuangalie kama hamna mafisadi waislamu, na wahalifu waislam...
 
Wenzetu hasa Marekani na Israel wamepiga hatua sana katika mambo ya kiintelligensia, hivyo naamini katika document hii niliyo attach hapa kuna ukweli mtupu.

Soma hii attachment soma kuanzia ukurasa wa 8 au ukipenda soma yote ujue jinsi gani sasa Tanzania si salama. Naomba Serikali tuache kuoneana aibu, vinginevyo tutafikishana pabaya
 
Nchimbi naye anashirikiana na magaidi kuitokomeza CHADEMA ndo unamshauri?
 
Hatuhitaji propaganda za usa na israel hapa tanzania!huko marekani kila siku wanapigana risasi hata watoto wadogo usalama wao upo wapi!
 
This paper is a presentation by Mr. Terdman in a conference on Africa in Washington DC, February 2007.

Tangu huu mwaka hadi sasa tunachekacheka nao tu....
 
Nchimbi hana uweledi wa kuitwa waziri wa mambo ya ndani,ameprove failure,huwezi endesha wizara nyeti hivyo kwa ushabiki wa siasa za ccm.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom