DOCUMENTARY: HIdden Colours (Historia ya Mtu Mweusi)!

Hivi Farao alikuwa mtu mweusi au Mwaarabu?? Ungeniambia alitoka Sudan ya kusini(NUBIAN) na kuhamia Misri hapo ningekuelewa.

Hao waarabu na wazungu uwaonao Misri leo hii wajua kua walihama toka uarabuni/ulaya na kuvamia falme za Farao wa Misri hapo awali??
Acha kujidhalilisha.
Wajua "civilisation" ya mto NILE uilianza vipi?
Hao wazungu uwaonao leo hii kule Australia na bara la Marekani Wajua walihamia kule miaka ipi?.....je hakukua na waanzilishi/inhabitants/natives kote kule?
You need some more education.
 
Kaka waafrika walivifanya vitu vingi tu, Waarabu wakaviandika na kisha Wazungu wakavitangaza Duniani na kujimilikisha, kuwa wao ndio waliovigundua,

kama umefuatilia discussion, utaona kuwa ni ngumu kumpa credit mwafrika ili hali hana lake kwenye uhandishi. crediti ni za wazungu kwasababu wao ndio waliondika.
 
Hivi Farao alikuwa mtu mweusi au Mwaarabu?? Ungeniambia alitoka Sudan ya kusini(NUBIAN) na kuhamia Misri hapo ningekuelewa.

kuna uwezekano mkubwa alikuwa mtu wa Kush, yaani nchi ya Ethiopia leo hii.

ila kuna wanaosema alikuwa Mnubi (Nubian) kama ni kweli either way hakuwa mtu mweupe labda mweusi mwenye nywele zilizonyoka.
 
Nimeuliza swali la kawaida tu na nilikuwa na maana yangu - sasa haya majibu yako ya vijiweni yanakuja kujaje hapa!!! Majivuno tu, si ajabu nchi zote unazo taja hapa juu unazisikia kwenye RADIO au unafikiri kila mtu hapa ni limbukeni? Nikwambie kitu - najua vizuri New Lands na Old Lands like back of my hand - have no doubt in my mind that you are a thoroughly nasty buffoon who mistake rudeness for intelligent comment!!
 
kuna uwezekano mkubwa alikuwa mtu wa Kush, yaani nchi ya Ethiopia leo hii.

ila kuna wanaosema alikuwa Mnubi (Nubian) kama ni kweli either way hakuwa mtu mweupe labda mweusi mwenye nywele zilizonyoka.

Mkuu nahafikiana nawe, hata ukiangalia sura ya Neferneferuaten Nefertiti mkewe Farao Akhenaten anaonekana ana sura na shingo ya Ki Kush, vile vile sura ya Cleopatra.

Neferneferuaten Nefertiti

Cleopatra
 
Mkuu nahafikiana nawe, hata ukiangalia sura ya Neferneferuaten Nefertiti mkewe Farao Akhenaten anaonekana ana sura na shingo ya Ki Kush, vile vile sura ya Cleopatra.

Neferneferuaten Nefertiti

Cleopatra

yes, i have read extensively about the history of egpyt, the majority of ethnic people in Egypt today are migrants and not the original people from Kush (todays' Ethiopia).

thanks for taking time and bring much needed evidence to followers of this thread.
 
kama umefuatilia discussion, utaona kuwa ni ngumu kumpa credit mwafrika ili hali hana lake kwenye uhandishi. crediti ni za wazungu kwasababu wao ndio waliondika.

Je ni sahihi kusema kuwa wazungu ni superior race kwa sababu tu ya kigezo kuwa wao ndio.walioandika mambo ambayo mwafrika alikuwa anayafanya.lakini tu "aloshindwa kuyaweka katika maqndishi?"
 
Je ni sahihi kusema kuwa wazungu ni superior race kwa sababu tu ya kigezo kuwa wao ndio.walioandika mambo ambayo mwafrika alikuwa anayafanya.lakini tu "aloshindwa kuyaweka katika maqndishi?"

nina amini hivyo, hata jamii yetu sasa hivi, kwani waliosoma si ndio superior, hata mtu asiyesoma awe mjanja vipi, akimwona alikwenda ni superior.

pia hata watu weusi wenyewe, kuweka rekodi ni shida, kwahiyo sijui ni laana au ni nini kiko kwenye akili za hawa viumbe.
 
Embu tupe huo mfano wa comprehensive research alioanza kuiandika mzungu.
 
Embu tupe huo mfano wa comprehensive research alioanza kuiandika mzungu.

ziko nyingi sana. ulisoma Physics O - level?

  • Omhs law
  • Charles law
  • Law of gravity
  • Darwin theory

haya yote usikute yalijulikana na mababu weusi kwa karne na karne kabla ya wazungu hata kuwepo ila aliyeandika ni mzungu.. wakina Charles, Newton, Darwin ni wazungu
 
History swali la before 15th century Africa and Europe were the same in development nilikua najibi hivi:

1. Kulikua kuna technology ya irrigation afrika hata kabla ya kuja kwa wazungu
2.Kulikia na chuo kikuu cha kwanza duniani na kiko Egypt kimaitwa al-azah university
3.Algebra iligunduliwa na waafrika
4.Elimu ya anga nayo waafrika
Nakadhalika
 
Last edited by a moderator:
Unachekesha sana. Huamini kitu hadi uambiwe na mtu mweupe.. kweli utumwa mbaya sana.

Aliye na akili haambiwi azitumie hivi kujaribu kumshawishi mwenzako itakuwa vigumu kama yeye mwenyewe hawezi jiuliza mbona watu weusi wapo kila mahali duniani.
 
Wewe ni popoma tu, nawazungu sijui wala kugegeda bak, maana kuna uzi mmoja kule unambishia mkuu Deception na weak point alafu ulivojinga, umekomaa kule kuandika kingereza jamaa akiandika kiswahili unasema hujui vema kiswahili hapa iki ulichoandika ni nn?

Watu wengine bana hamna tofauti na utoko wa kibox manyoya

Cc Deception njoo uone huku jamaa yako ambae hajui kiswahili , hUku pia yupo na wazungu. He he
 
Last edited by a moderator:

Kumbe alikuwa ananizuga,aisee jamaa kanitapeli kweli.Nimelazimika kumuandikia kwa kizungu huku nikiwasahau walengwa wangu wale wasiojua kizungu,kumbe nilikuwa naelimisha KASA.

Nashukuru mkuu kwa kunijuza hili.
 
Man! Bear in mind maandishi namba astronomy architecture etc were already known in the al kebulan landmass now known as africa, centuries ago. Wasingeweza kuandika na kuhifadhi bila ya mababu zetu. Hizo theories zilishajulikana kitambo ila sisi hatukuwa na nidhamu chafu ya kujimilikisha elimu kwa majina, aristotle ujuzi wake wote alijifunza ancient egypt, kaa ukijua hata neuroscience was amongst literature antique that were picked up when the roman burnt down alexandria university the largest latest university of ancient egypt, google adam smith papyrus. We were already ahead centuries ago not vry united i must admit, they tried to wipe everything, angalia sanamu za misri zilivyoharibiwa pua na lips, google these pictures.

Man! Know thyself
 
i failed to follow what you are trying to say, do you agree that whites are superior because they took time to document their findings and do you still believe blacks are "inferior" because they didnt have the discipline to document their discoveries?

OR

do you completely disagree?
 
Kumbe alikuwa ananizuga,aisee jamaa kanitapeli kweli.Nimelazimika kumuandikia kwa kizungu huku nikiwasahau walengwa wangu wale wasiojua kizungu,kumbe nilikuwa naelimisha KASA.

Nashukuru mkuu kwa kunijuza hili.

Deception, i prefer to use english language because of medical terms, i am English to most people on this forum and it is my first language.

please understand.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…