Documentary : Mwanzo wa KitimTim Choir na Rose Muhando

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
May 2017

Documentary: Mwanzo wa KitimTim Choir na Rose Muhando

Source: KitimTim Production

Je waimbaji wa Kiroho au Kidunia na wasanii wengine wana mpango gani wa kutayarisha documentary zao badala ya kutegemea kuhojiwa na media na historia yao kuwekwa kufuatana na jinsi media inavyofikiri.

Huu mpango wa kutayarisha documentary ni kiwango kingine katika industry ya maonesho cha kuweza wapenzi, wafuasi na wana historia kununua kazi zao za documentary zilizotayarishwa vizuri na kuhifadhi katika maktaba zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…