maujanja supplier
Senior Member
- Aug 8, 2012
- 103
- 115
ThanksUkitaka kununua gari kwa Mtu hapa Tanzania.
1. Mnaandikishiana mkataba na ukiwa na muhuri na sahihi ya mwanasheria.
2. Mnaenda TRA na huo mkataba, copy ya ID ya muuzaji na mnunuaji, original card ya gari.
3. TRA watamaliza the rest.
Kuwa na mkataba wa mauziano. Ambao utaonyesha jina la muuzaji, la kwako, mashahidi na namba zao.Habari wa Tanzania wenzangu, naomba kujuzwa; utaratibu unaotumika na aina ya documents za makabidhiano wakat wa ununuzi wa gari. All the procedure I mean, gari lililotumika toka mmilik A to B
Ahsanteni